Baridi Linaloendelea Tanzania

huko noma yan ukimwi kama mafua tu....
nakumbuka kabisa yaani ile picha za watoto walivyokuwa wanaleana ikaanzishwa kama fund fulani halafu kama unawajua parapanda wanavyojua kuimba kwa hisia,japo watu wa makete wanadai eti ile ilikuwa deal maana watu wengi wa makete wanaishi nje walikuwa wanataka misaada tu
 

labda ila me huwa nasikia kuna sehemu noma kuna ngoma sana
 
hapo sasa utawaweza wanaume wa dar na walivyo na stress za mapenz na wakiamini mkombozi wa mambo yetu ni pweza na supu yake hapo mahala pake....
Tena wanaulizana kabisa wee unakunywa supu ya pweza unao mzigo leo au?Wanaume wa Dar ni spishizi tofauti kabisa mwanaume anakunywa chai na chips snack haki huyo mie hawezi kunimudu
 

ahahahahahaha hahahahahaha Dar tunaish ila watu wengi wazamiaji ila wengi wao wanajifanya wazaramo hahahahaha
 
Reactions: amu
labda ila me huwa nasikia kuna sehemu noma kuna ngoma sana
nauhakika ukimwi upo sana kule na ile stori miaka ile ni ya kweli nakumbuka nlikuwa shule ya sekondari olevel nlilia kuona zile picha za watoto wameathirika na hawana wa kuwalea nao wanalea watoto wenzao,wamakete wanasema hivyo kujificha tu ila wanajua ukweli,we si unaona kawaida tu sisi wabongo mvua ikinyesha rate ya mimba inaongezeka
 

ahahahaha Eti mvua ikinyesha rate ya mimba inaongezeka...mvua intrigger sexual intercourse sio .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…