toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,965
- 12,556
Makete napenda sana baridi lake.
Jiji kama dar es salaam linahitaji baridi kama hilo.8 si ni noma me sijawah kuiexperience mzee
😃😃😃 huwezi kuwa serious.mimi nko dar nimefunga hata kabishara changu cha mabarafu ice cream ni hasara wanaume wa Dar wanaogopa ngiri
mimi nko dar nimefunga hata kabishara changu cha mabarafu ice cream ni hasara wanaume wa Dar wanaogopa ngiri
nakuapia nimezima friji zote.wanaume wa Dar waoga wanaogopa mpaka baridi😃😃😃 huwezi kuwa serious.
Jiji kama dar es salaam linahitaji baridi kama hilo.
aaaa huko watakufa hawa, imagine mauzo yamepungua hata hela ya umeme hairudi kwa siku,aaaa nimejipumzikia mie wauza juice za miwa nao hali tia maji tia maji,ukienda dukani kwa mangi ukiagizia ppsi baridi wanakushangaa mijanaume eti huogopi baridi nawajibu sina ngiri mieAmu yan dar eti tunajidanganya kuna barid ebu chek njombe yan kama mtu yupo ndani ya fridge...eti wanaogopa ngiri ahahahaha
hahahamimi nko dar nimefunga hata kabishara changu cha mabarafu ice cream ni hasara wanaume wa Dar wanaogopa ngiri
Hali ya hewa makete ni ya kipekee sana Tanzania nimeishi kule miaka km 8years,napamiss sana.
hahaha
imebidi nidiversify business niwe na vijana wanatembeza supu ya pwezahahaha
safi, wanaume wa dar hawataki tabu kabisa.imebidi nidiversify business niwe na vijana wanatembeza supu ya pweza
hivi huko makete si ndo kuna kipindi kijiji kizima watu wazima wamefariki kwa ukimwi wamebaki watoto nakumbuka Parapanda Arts group waliwaimbia na wimbo inaweza kuwa ni sababu ya hali ya hewa
Wanakunywa chai kweny kombe la plastic na chama(snack za watoto)safi, wanaume wa dar hawataki tabu kabisa.
Halafu ukiwepo kule hakumbuki wala kuhisi kuwa kuna baridi ila ukija dar ndo unapata tabu kwa joto.jamaa sasa lile winter una adapt au ??
imebidi nidiversify business niwe na vijana wanatembeza supu ya pweza