Baridi kali kama hii

Baridi imenikuta ughaibuni, kuchepuka naogopa, nimebaki nimejikunyata tu!!!!!!!!!!!!
 
Hapa kiboroloni ni majanga yani ni mwendo wa supu mwanzo mwenga arifu
 
Pande za Iringa makete maambukizi yapo juu watu wanagegedana sana kisa baridi.
 
Aiseeeeeeee basi itabidi uwe dactare wangu

...hahaa..ningependa sana kuwa daktari wako, lakini je, Excel..?? Nauliza tu ili kama vipi tuanze vipimo asap!!
 
Last edited by a moderator:
...hahaa..ningependa sana kuwa daktari wako, lakini je, Excel..?? Nauliza tu ili kama vipi tuanze vipimo asap!!

Hahahaha kunguru muoga eeeeh muraa yuko vitani be free
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha kunguru muoga eeeeh muraa yuko vitani be free

sio kunguru, mie vya watu sikuli hata...
lakini kwa kukupinya na "baridi ya darisalama" count me in miss!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…