Barcode nitaipataje?

Hello Wana JF,

Naomba msaada, nataka kupata barcode, nawezaje kupata hii kitu.
mkuu kama una smartphone mbona unatengeneza mwenyewe tu ndani ya dk 5 ushamaliza inabaki kuprint tu,ingia playstore kama una android utakuta app kibao za kutengeneza barcode,angalio ambayo iko rated vizuri
 
Kama unataka na uko serious watafute hawa GS1 wako world wide hapa dar es salaam wanapatikana mikocheni kama sijakosea. Google hilo jina utapata details zao na contacts
 
mkuu kama una smartphone mbona unatengeneza mwenyewe tu ndani ya dk 5 ushamaliza inabaki kuprint tu,ingia playstore kama una android utakuta app kibao za kutengeneza barcode,angalio ambayo iko rated vizuri
Rated vizuri ndo ninj? Ebu tueleze vizuri kiongozi
 
Back
Top Bottom