Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,933
- 1,294
Yote yanawezekana,hii ndo bongo bana!
Nyambaffu...mtu wa Pemba anahamishiwa akaunti Unguja. Wa Tabora hadi Mwanza. Na serikali imetulia tu. Inasubiri uchaguzi
Mwanzo wa kukimbia
investors wote wanaoamini kuwa maendeleo ya nchi yanaletwa na ulipaji kodi vizuri wanapoteza imani.Ndo uchumi unakua hivyo kweli kama sio Taifa linaangamia hili ewe mungu wangu ajira ndo zinazidi kuwa mbinde hivyo
Impressive kivipi?Wanasema, Barclays ndo ilikuwa bank kubwa ya 4 baada ya CRDB, NBC na NMB. Swali la accounts zao kuonyesha kuporomoka kibiashara limejibiwa kijanja, ufafanuzi haujatolewa vema lakini wanasema 1st quarter haikuwa nzuri lakini ilikuwa impressive.
Sasa wewe ulitaka serikali ifanye nini?Unajua soko huria...Benki zimejaa,unahama mara moja,wametoa siku 90 watu wajipange,what else do you want?.Tutaacha lini hii mentality ya 'serikali itusaidie wananchi' lini?Dereva anaendesha basi kwa fujo,abiria wote wanakaa kimya lakini gari likipata ajali utasikia kila abiria akisema 'Tunaomba serikali iingilie kati kutusaidia...'.Nyambaffu...mtu wa Pemba anahamishiwa akaunti Unguja. Wa Tabora hadi Mwanza. Na serikali imetulia tu. Inasubiri uchaguzi