Papillon 1906
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 223
- 742
Nakukumbusha tu.Nikumbushe kwanza, hivi El Classico ni lini?
Hili ni swali ambalo nilitamani kuona mashabiki wa Barcelona wakijiuliza.
Wakati Barcelona wanamleta Pedri, sisi tunamleta Bellingham.
Barcelona wanamleta Raphinha, sisi tunamleta Vini.
Barcelona wanamleta Fermin Lopez, sisi tunamleta Arda Guller
Wanamleta Garcia, sisi tunamleta Courtois
Wanamleta Rodri, tunamleta Benardo Silva.
Sasa napomleta Mbappe kama Striker wangu, nawe utamleta Gabriel Jesus?
Asante kwa kunikumbusha.Nakukumbusha tu.
Kwenye mechi sita za msimu ulioisha ulishinda moja tu.
Nikakufunga mechi 5.
Ningekuwa mimi nawashauri Barca wangemfikiria Patrick Schick wa Reverkusen. Wangempata kwa bei nafuu, na mshahara wake si mkubwa. Nina uhakika yule jamaa uhakika wa kuifungia Barca goli 15-20+ angewezaGabriel Jesus kacheza Arsenal misimu minne.
Mechi-84
Magoli-21
Japo majeruhi yanamkosesha muda wa kucheza hususani misimu uliopita akiwa na arsenal lakini haibadili kuwa ni mchezaji wa kawaida.
Baada ya dili la Alvarez kuwa gumu kutoka atletico Madrid,kumekuwa na washambuliaji kama victor osimhen huyu jamaa anakiu na goli si mchezo.
Kuwa na mchezaji wa aina hii uefa kucheza champions League final ni kugusa tu
Japo hata Jesus majeraha ndo yalimtoa kwenye reli ila nyavu anazijua. Huwezijua anaweza kutulia na akarejea kwenye ubora wake wa City. Japo hata Barca najua yalikuwa maamuzi ya dharula.Ningekuwa mimi nawashauri Barca wangemfikiria Patrick Schick wa Reverkusen. Wangempata kwa bei nafuu, na mshahara wake si mkubwa. Nina uhakika yule jamaa uhakika wa kuifungia Barca goli 15-20+ angeweza
Kama kawaida yako unajifariji tu.Nikumbushe kwanza, hivi El Classico ni lini?
Hili ni swali ambalo nilitamani kuona mashabiki wa Barcelona wakijiuliza.
Wakati Barcelona wanamleta Pedri, sisi tunamleta Bellingham.
Barcelona wanamleta Raphinha, sisi tunamleta Vini.
Barcelona wanamleta Fermin Lopez, sisi tunamleta Arda Guller
Wanamleta Garcia, sisi tunamleta Courtois
Wanamleta Rodri, tunamleta Benardo Silva.
Sasa napomleta Mbappe kama Striker wangu, nawe utamleta Gabriel Jesus?
Barcelona inasikitisha kama si timu yakoNikumbushe kwanza, hivi El Classico ni lini?
Hili ni swali ambalo nilitamani kuona mashabiki wa Barcelona wakijiuliza.
Wakati Barcelona wanamleta Pedri, sisi tunamleta Bellingham.
Barcelona wanamleta Raphinha, sisi tunamleta Vini.
Barcelona wanamleta Fermin Lopez, sisi tunamleta Arda Guller
Wanamleta Garcia, sisi tunamleta Courtois
Wanamleta Rodri, tunamleta Benardo Silva.
Sasa napomleta Mbappe kama Striker wangu, nawe utamleta Gabriel Jesus?
Lazima awakande clasico kama alivyowakanda Auba.waste of money
Halafu matokeo yakawaje timu hizo zikikutana?Nikumbushe kwanza, hivi El Classico ni lini?