Loh! Ulingalia TV gani au ulisikiliza TBC Taifa? Goli tatu ni makosa ya waamuzi mkuu.
Acha ubabaishaji wewe.....TV gani wanasema ni makosa ya waamuzi? Mbona nimeangalia super sport 3 hawjasema hivyo? Super sport 3 wamemlalamikia refa kwa kuinyima Bayen PENATI TATU!!!!!!!!Upo???
nakubaliana na wee mkuu ndani ya box pique mpira ulimgonga mkononi na pia alex sanches aliugusa mpira wakati aliporuka kutaka kupiga kichwa ila kuna offside ya goli la pila ambalo mpira ulikua ni wa kona na goli la nne jardi alba alikua anaenda kumkaba robben muller alimuangusha refa kapeta na robben kapata nafasi ya kupiga mpiraAcha ubabaishaji wewe.....TV gani wanasema ni makosa ya waamuzi? Mbona nimeangalia super sport 3 hawjasema hivyo? Super sport 3 wamemlalamikia refa kwa kuinyima Bayen PENATI TATU!!!!!!!!Upo???
Pole MzeeKatika UCL jana nusu fainali kati ya FC Bayern Munich na FC Barcelona imeonesha kuwa Barca hatukuenda kushindana ila kuonesha 'individual skill of players to possess the bal'. Pamoja na fitina za Wajerumani lakini tukiri tumefungwa na Real Madrid leo tusubiri kuona mabao mangapi wakifungwa.
Loh! Ulingalia TV gani au ulisikiliza TBC Taifa? Goli tatu ni makosa ya waamuzi mkuu.
Katika UCL jana nusu fainali kati ya FC Bayern Munich na FC Barcelona imeonesha kuwa Barca hatukuenda kushindana ila kuonesha 'individual skill of players to possess the bal'. Pamoja na fitina za Wajerumani lakini tukiri tumefungwa na Real Madrid leo tusubiri kuona mabao mangapi wakifungwa.
nakubaliana na wee mkuu ndani ya box pique mpira ulimgonga mkononi na pia alex sanches aliugusa mpira wakati aliporuka kutaka kupiga kichwa ila kuna offside ya goli la pila ambalo mpira ulikua ni wa kona na goli la nne jardi alba alikua anaenda kumkaba robben muller alimuangusha refa kapeta na robben kapata nafasi ya kupiga mpira
Real madrid mabingwa wa UEFA sio ushabiki bali ni matokeo ya analysis:
Fainali pale wembley makazi ya moyo wa mourinho itakuwa real madrid vs bayern munchen
analysis fupi:
msimu huu:
real madrid vs borussia dortmund: 1 kwa 2
2nd leg real madrid vs borussia dortmund: 2 kwa 2
hivyo ni dhahiri kwamba hizi timu zinatoshana nguvu, kwa hio mbinu kidogo tu itakayotumika ndio itakayowatofautisha na hatimae kuwapa ushindi, na hapa nawapa real madrid nafasi kubwa ya kushinda kwa kuwa wao ndio waliobanawa kwa vipindi vyote, hivyo naamini watacheza kwa mbinu kubwa sana na hatimae kushinda na hivyo hivyo wakicheza na bayern munchen!!!!!!!
msimu uliopita:
1st leg real madrid vs bayern munchen: 1 kwa 2
2nd leg real madrid vs bayern munchen: 2 kwa 1, na kupelekea kuongezwa muda na wakatoshana nguvu na hatimae mshindi akapatikana kwa njia ya matuta, ambapo bayen munchen walishinda kwa njia ya matuta
tanbihi:
kwa kuwa real madrid wana kocha bora mwenye mbinu nyingi, na kwa kuwa hizo timu wanafahamiana sana kimichezo kwa maana ya kuwahi kukutana na mara zote wakiwasumbua real madrid nina imani kuwa real madrid wataibuka na ushindi wa ubingwa wa UEFA.
Tusubiri tuone!!!!
Hilo neno la mwisho"TUSUBIRI TUONE" ndio muafaka wala hukuhitaji kuweka analysis ambayo inaonyesha kabisa tusubiri tuone.
Usijali na hapa ndo mahali pake nilimaanisha analysis yako inamaanisha Tusubiri tuone na sio madrid atatwaa kombe....kwa kutumia analysis yako.Mm ni muumini wa wale wanaojaribu kujustify wanachoamini............kuacha kutoa analysis japo kwa jicho la kibinadamu(maana binadamu hatuna uhakika na mipango ya Mungu) kwangu naona si vyema.....ni muhimu kutolea ufafanuzi wa kila unachowaaminisha watu...ili mwenye kupingana nawe ajuae base uliotumia kusema!!!!!
Usijali na hapa ndo mahali pake nilimaanisha analysis yako inamaanisha Tusubiri tuone na sio madrid atatwaa kombe....kwa kutumia analysis yako.