babacollins
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 901
- 212
Ni hao, ila sio kwa mwanakatalunya huyu Xavi.Xavi bado anahitaji mda kuaminika kwamba Barcelona wamerudi kwenye ubora wao kwani kuna makocha walianza vizuri zaidi yake mechi za mwanzoni ila baadae wakaja kuharibu vibaya sana na kufukuzwa kwenye team.
msimu wamoTimu kubwa na iliyopata mfanikio makubwa kisha ikapotea kwa muda mrefu ni Ac Milan. Yaani viongozi wake wake wamemchemsha mno
hahahaaaa wazee wa 4GNi hao, ila sio kwa mwanakatalunya huyu Xavi.
Unaiona kabisa Barca ilivyo ya ushindani.
Ngoja season mpya ianze akiwa ameweka mawe yake sawa.
Ile barca yao akina xavi,iniesta,messi kampa kampa tena ndo inarudi.
Mwekezeji akiwa mchina au mmarekani kwenye soka usitegemee kusikia klabu inachukua mataji mara kwa mara. Klabu itachukua mataji once in a blue moon. Wao wanapata faida zingine mashabiki mtapambana kivyenu.Timu kubwa na iliyopata mfanikio makubwa kisha ikapotea kwa muda mrefu ni Ac Milan. Yaani viongozi wake wake wamemchemsha mno
Muda ni Rafiki mkweli.Ni hao, ila sio kwa mwanakatalunya huyu Xavi.
Unaiona kabisa Barca ilivyo ya ushindani.
Ngoja season mpya ianze akiwa ameweka mawe yake sawa.
Ile barca yao akina xavi,iniesta,messi kampa kampa tena ndo inarudi.
Hamna kitu hawa, ukizingatia na soka la Italy limeshuka kiwango sio kama zamani ukiona timu inazowakilisha UEFA kutoka Italy ni timu haswa ambazo huwezi kukosa robo au nusu timu moja au mbili. Lakini siku hizi timu zote za Italy ni wepesi sana kwenye champions league. Ac Milan msimu wanachezea shilingi chooni, wamepata pochi mara ya kwanza ya kuongoza ligi kwa gap kubwa huku Napoli na Intermilan wakipoteana lakini cha ajabu kakutwa na kuja kupitwa na Intermilan. Mzunguko wa pili tena anapata tena pochi la kuongoza ligi kwa gap ya point 4 dhidi ya Inter huku ikisalia michezo 8 lakini wanakuja kutoa sare mfululizo na vitimu vidogo.
Mkuu ulisema, naona leo jamaa wamepigiwa kipigo cha mbwa mwizi kwaoXavi bado anahitaji mda kuaminika kwamba Barcelona wamerudi kwenye ubora wao kwani kuna makocha walianza vizuri zaidi yake mechi za mwanzoni ila baadae wakaja kuharibu vibaya sana na kufukuzwa kwenye team.
Hamna kitu hawa, ukizingatia na soka la Italy limeshuka kiwango sio kama zamani ukiona timu inazowakilisha UEFA kutoka Italy ni timu haswa ambazo huwezi kukosa robo au nusu timu moja au mbili. Lakini siku hizi timu zote za Italy ni wepesi sana kwenye champions league. Ac Milan msimu wanachezea shilingi chooni, wamepata pochi mara ya kwanza ya kuongoza ligi kwa gap kubwa huku Napoli na Intermilan wakipoteana lakini cha ajabu kakutwa na kuja kupitwa na Intermilan. Mzunguko wa pili tena anapata tena pochi la kuongoza ligi kwa gap ya point 4 dhidi ya Inter huku ikisalia michezo 8 lakini wanakuja kutoa sare mfululizo na vitimu vidogo.
Pale kulikuwa na kocha , na sio timuInter sio timu ndogo, refer inter ya akina Diego milito, zanetti na cambiasso ilikua balaa
Ndio maaana nikasema timu za Italy zilikuwa ni moto tofauti na sasa soka la Italy limeshuka. Hapo ukizungumzia Inter ya diego milito huku unakutana na Roma ya akina Francisco Toti. Huku kuna Ac milan ya akina Pirlo.Inter sio timu ndogo, refer inter ya akina Diego milito, zanetti na cambiasso ilikua balaa
Naijua Inter sio kikosi wala kocha ilikuwa ni nyota yao kwa mwaka huo, Group stages wakiwa na Rubin Kazan, Dinamo Kiev hawakufurahisha kbsa na mwaka ambao Morinho alisemwa sana ila Bahati ilikuwa yao, na alikuwa na wachezaji mature wenye uzoefu waliopita vilabu bora na wenye njaa na wanaotii maelekezo, wenye bidii ukiongeza na bahati walibeba. Kwanzia kipa Cesor, Maicon, Zaneth, Lucio, uende Mbele Etoo, Milito, katikati Tiago Mota nguvu, fujo, maarifa, utundu, game concentration, marking system, aerial ball, hakika mwaka wa bahati iliopangwa na Mungu, Barcelona, na Bayern zote zilikuwa KaliPale kulikuwa na mocha , na sio timu