Barbershop ni kama madanguro

Watu wa mikoani bwana mkishafika hapa mjini mntuharibia kwa wake zetu.
Mengine ni siri zetu unayaleta mtandaoni ili tusindikizwe kwenda saloni ama?
Yaani jamaa kanikorofisha kwa kweli !haya mambo wenyewe tunapiga kimya
 
mi naona madanguro yapo kila kona, sema ni mwanaume usipokuwa imara utapata shida sana:

1. maofisini - wapo wanaobomu lunch / dinner

2. wale trafiki "KE" wa barabarani - huwa wanapenda sana kuomba namba za simu za madereva "ME"

3. kanisani / msikitini - wapo wanaoomba uwasaidie mkopo halafu wanasema "sijui nikupe nini?"

4. wapo kila kona.....endeleza list hapa
 
Kazi nyingine zione na zisikie tu lakini ukweli wa mambo hii jinsia iliyoumbwa kutoka ubavuni mwetu ina vimbwanga na vitimbi vya kila aina. Inasikitisha Inahuzunisha na Inatiahuruma.
 
Umechelewa sana kujua mkuu .
 
UNAPOAMBIWA MKUTANE GUEST HOUSE BINAFSI NIMEWAZA MAMBO MENGI TOFAUTI
KWANZA NAJUA KALENGA SUALA LA PESA ZAIDI SABABU AKIKUFANYIA PALE SALUNI PESA KARIBIA YOTE ITAINGIA DROO ZA OFISI WAKATI ANAJUA AKIKUFANYIA NJE YA OFISI ATACHUKUA PESA ZOTE YEYE MWENYEWE.
PILI KUNA WANAUME WAKIFANYIWA MASAJI HUWA WANAPIGA SANA MAKELELE KV WANAFANYA LILE TENDO HIVYO LABDA ALIKUONA SIO MZOEFU AKAJUA UTALETA AIBU PALE YA KUPIGA MIKELELE YA MAHABA. NA HII ALIKUA ANAELEZEA DADA MMOJA KWENYE EATV KWAMBA KUNA WANAUME WAKIFANYIWA MASAJI WANAPIGA KELELE HADI WANAKOJOA MKOJO MKUBWA KWA RAHA.
TATU INAWEZEKANA KWELI PIA WANAJIUZA KWA NJIA HIYO HIVYO ALIJUA MKIWA HURU WAWILI CHCHOTE ATAKACHOKUSHAURI UTAKUBALI TU KWA KUONA AIBU.
POINT KUBWA HAPO NI SUALA LA PESA ZAIDI.
 
Hizi bahati mbona mimi sizipati ? Ama ulikua huna 40. Ingia pm unielekeze nikafaidi matunda
 
Kwel kbsa
 
[emoji23] [emoji23] Umemaliza yote
Watu wa mikoani bwana mkishafika hapa mjini mntuharibia kwa wake zetu.
Mengine ni siri zetu unayaleta mtandaoni ili tusindikizwe kwenda saloni ama?
 
karibu "" da"slam mkuu ""
 
mkiingiaga mjini mna shida sana nyie wa mikoani na mkipewa vyeo ndo kabisaa utasikia nafunga saluni zote utadhani ulishikiwa bunduki kuchukua hiyo namba
haha haha
 
huku " da slam ..mke akupokee mzigo amerogwa au..?? kwanza unaweza kutangulia wewe kurudi katika pilika zako ukafika home "" ukakuta yeye bado hajarudi ""toka kazini " sasa hapo nani atakayepaswa kumpokea mwenzake ...

nakumbuka niliendaga usukumani nikashangaa kuwa ona wa mama wa kisukuma wakiwa wanawapigia magoti "" kila mwanaume wakisukuma wanaye kutana nae Njiani "" kwakweli niligeuka mtalii "" wacha niwashangae ...hahaa """
 
Watu mnama experience balaa
 
Kweli technolojia imepanuka,nilienda Mwanza siku moja.
Nikashuka Stendi Moja ya mabasi,saa 12.30jioni hivi.Nikaenda kutafuta chumba cha kulala gest house ya jirani na stendi.
Nilipokaribia tu,dada mmoja akanidaka.Karibu kaka,tuna vyumba vizuri kwa bei nafuu,kila huduma inapatikana.
Akaomba kupokea begi langu nikagoma.
Nikamfuata nikijua ni muhudumu wa gesti hiyo,bahati yangu kumbe pale best vyumba vimekwisha,wakamwambia jaribu kwa Jirani.

Nikatoka usingizini,nikajua naingizwa town.
Akanisihi twende gest nyingine,nikaona nikikataa pale pale anaweza kupiga yowe za mwizi au kufanya vinginevyo ili tu anitoe pesa.
Nikamwambia twende sehemu nyingine.

Kwa furaha akatangulia hadi gesti iliyofuata,akauliza chumba na kuambiwa 20,000 self room.Akaniambia nilipe kwani kimebakia hicho tu.
Nikajidai kuchungulia,yeye kasimama ndani akijua atavuna kitu!
Nikamwambia mhudumu mimi nina sh.10,000/- tu.
Akanisihi sana hiyo dada nilipe.
Nilivuta kiti pale mapokezi nikakaa na kumuuliza,hivi wewe ni nani mbona unanifuata kila mahali unanijua?

Akapigwa mshangao,kwa aibu aliondoka.Baada ya dakika kama kumi,muhudumu yule akaniambia leo ungeingia mjini.Ila usilale hapa maana ataita vijana wakufuate usiku.
Niliondoka nikapanda Boda boda nikahama mtaa.
Mjini shule!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…