nyakandula
JF-Expert Member
- Jul 26, 2016
- 1,251
- 1,735
Jana kwa mara ya kwanza niliamua kwenda kwenye barbershop moja hapa mjini Dar, sitoitaja kwa jina.Ofcourse huduma zao ni very professional.
Picha linaanza naingia tu ndani napokelewa na binti mrembo ananisalimia kwa bashasha na kunipokea mzigo wangu niliobeba kama vile mke anavofanya kwa mume akanikaribisha.
Nikaa kwenye kiti akaanza kunishika shika mashavu na nywele akanifunga lile shuka shingoni baada ya hapo akaja sasa kinyozi, akaninyoa kama ninavotaka alipomaliza akaondoka.
Yule binti akaja pale nae kaanza kuniuliza scrub vipi? Nikamwambia nifanyie akanifanyia vizuri tu kwa madoido huku tunapiga story mbili tatu.
Alipomaliza akaniuliza nikuoshe miguu nikakataa akaniuliza kwa sauti ya chini sana, je masaji vipi?
Nikamjibu hapana ila nikamuuliza unafanya kwa bei gani masaji akasema elfu 40 ila sikufanyii hapa unatafuta sehemu nyingine either Lodge au Guest ndio nakuja kukufanyia.
Nikamwambia ok niachie namba yako nitakutafuta. Baadae nikamtext nijue masaji ya vipi akasema ya mwili mzima, sasa najiuliza huko Lodge anakotaka si anataka ma mambo mengine!