Niliteza mkuu. Barbara ana mafanikio makubwa kuliko Senzo.Hebu orodhesha mafanikio ya Senzo Simba? Senzo ni Event organizer tu hana utaalamu wowote kwenye klabu management.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wameonyesha vyura na nyani wanarukaruka kwenye vidimbwiMwanachi media day
Alikuwa Magori.Kipindi Simba anafika robo finalise Champions 🏆, CEO alikuwa nani unataka mafanikio yapi zaidi ya hayo.? Mkuu.
🤣🤣Dunia inakwenda kwa kasi sana, Babra kutoka kusimamia upishi wa mikate na Juice za MO mbaka kuwa mtendaji mkuu wa Mbumbumbu fc.
aisee!Babra amemzidi Senzo elimu, hana elimu ya kuungaunga kama kina sisi.
Hivi mliwahi jiuliza kilichomtoa huyo Senzo huko kwao mpaka aka apply kazi Simba?
Senzo is Overrated, amekuwepo simba hatukuona maajab yoyote simba ilibaki kuwa ile ile.
Kuhusu senzo kuwa na CV kubwa, je hiyo CV ndo inayofanya kazi?
Kwasababu senzo ana CV kubwa ina maana watu wengine hawaruhusiwi kujenga CV zao?
Hivi Unadhani kuwa Assistant wa bilionea ni kitu rahisi? Lazima ana uwezo mkubwa ila atapingwa sana sababu ya jinsia yake.
Anakuza CV yakeDunia inakwenda kwa kasi sana, Babra kutoka kusimamia upishi wa mikate na Juice za MO mbaka kuwa mtendaji mkuu wa Mbumbumbu fc.
Babra yupo juu huyo Senzo angekuwa vizuri angekuwa ulaya.BARBARA AMKATAA SENZO "sio Type Yangu"
Kuhusu kufananishwa na yule bwana wa upande wa pili nisingependa kujibu kwa sababu haina tija, Mimi sisumbuliwi na propaganda za watu kabisa.
Nimesimama imara, najiamini kwenye uwezo wangu, Kama mtu anatafuta sehemu ya kuji-brand, namuona mtu huyo ni mwepesi. Sisumbuliwi hata kidogo.
Mimi ni mweledi, najua uwezo wangu na huwezi kunifananisha na mtu ambaye hana ‘class’ yangu ( Senzo is not my type)
Chanzo: cloudsfmtz na simba_breaking_news
Mimi ni Simba SC Mwenzako ila sijazoea Unafiki na hupenda kuwa Mkweli hata kama 'nitawaudhi' Watu. Barbara Gonzalez CEO wa Simba SC bado una mengi hasa ya 'Kiutendaji' ya 'Kujifunza' kutoka Kwake Senzo Mazingisa aliyeko kwa Watani zetu sasa Yanga SC. Kiburi chako cha Pesa na kuwa karibu na 'Mwekezaji' Mo Dewji hasa 'Kimahusiano' yenu kusikufanye nawe ujione ni Tajiri Afrika. CV ya Senzo Mazingisa haitishi tu hapa Tanzania bali hata huko CAF na FIFA pia anatambulika na kuheshimika pia.
Barbara Gonzalez ifuatayo hapa chini ni sehemu ya Uzoefu wa Kiutendaji wa aliyekuwa CEO wa Simba SC Senzo Mazingiza ili ujue kuwa haumpati
1. 2010 South Africa World Cup Coordinator
2. FIFA Confederation Cup 2009 Event Coordinator
3. South Africa Tournament Director
4. PSL Ticketing and Security Committee Director
5. CAF Symposium Delegate Director
6. General Manager at Platinum Stars Football
7. Orlando Pirates Director of Administration
Ila ni mtamu sana tuache utani. Barbra ni mzuri sana na akili anazo piaNi nani anamiliki hiki chombo bwana popoma?
Utani.
Sema huyu dada ana uswahili sana ndani yake..
Mtamu wakati uzuri wa nyumba ni choo hana...sio kweli.Ila ni mtamu sana tuache utani. Barbra ni mzuri sana na akili anazo pia
Umeshamkaza?Ila ni mtamu sana tuache utani. Barbra ni mzuri sana na akili anazo pia
Kwa macho!Umeshamkaza?