Barbara Bush...

Barbara Bush...

Easyway

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
2,606
Reaction score
3,714
Mama George alipokuwa binti.
RIP Barbara.
FB_IMG_1524124911626.jpg
 
Ndo nini umeandika mkuu, hebu rudia kusoma
Mumewe George Bush sr,mtoto wake George Bush jr.
George Bush sr alikuwa rais wa Marekani 1989-1992 kwa kipindi kimoja akashindwa na Clinton mtoto wake alikuwa rais wa Marekani kwa vipindi viwili kuanzia 2001-2008 akamuachia Obama.
 
Back
Top Bottom