Kaka umerudi USA au ndo unakesha katika mkakati wa kumtoa kibajaj? Vipi siasa za bongo?sema na Mzee wako amuombe JK akuteue kamanda maana duh naskia EALA hukuwa hata na mia ya Kuhonga ukaambulia Kura za CHADEMA lini unarudi huku?
si kweli. waziri mkuu tu ndio anatakiwa atoke kwenye chama chenye wabunge wengi. mathalani slaa angeshinda urais 2010 huku chama chake hakina wabunge wengi angelazimika kuchagua waziri mkuu toka ccm na kukaa naye kuunda baraza la mawaziri. hivyo katiba ya sasa inaruhusu mseto.Kwa katiba yetu ya sasa haiwezekani kwa kuwa inamtaka rais kuchagua mawaziri miongoni mwa wabunge wa chama chenye wabunge wengi.
nakubaliana na wewe 100% pia sheria ya sasa haionyeshi njia/uwiano wa serikali ya mseto- Sio lazima tuige kila kitu cha US na infact wao siasa sio uadui kama sisi, sasa ukiingia mseto tu maana yake sasa mnakuwa CUF, yaani dead! Tunahitaji upinzani ili kurekebisha mambo kama ilivyo sasa!
William.
Kwa akili ya Shibuda unategemea akiteuliwa atakataa? Hata Chdema wakimkataza
cuf wameshatulizwa kwa hiyo target ni chadema.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Wewe Malecela woga wako ni kuwa CDM ikikubali nafasi yeyote ya uwaziri chance ya mama yako kupata uwaziri itapungua kwa taarifa yako CDM hawataki nafasi kwenye hiyo serikali legelege
Come on man, give William a breakl! At least he is trying to do something for his country. He did not have do well at EALA but must you insult him like that? I may not agree with William's views all the time, but I give him respect for expressing them and standing up to be counted. If you are so passionate about our country, you should try to take part in its development!!
mkuu taratibu kidogo.Kaka mbona we hukusubiri wakati wako wa kuingia EALA wakati unajua mama ako wa kambo na kibajajihawapatanibna CCM(magamba)wenzako ? Au ndo funika kombe...'Kuwa na subira pia maana Kibajaj nae kakukalia mbaya, anasema aishindwa babu hata mjukuu haezi
hapo dawa ni kuchochea kuni tu.View attachment 52919
Nani atakubali mseto na huyu jamaa?
Nadharia nzuri, lakini ukifika wakati wa utekelezaji kwa hili ndio mtalia zaidi kwani ikiwa chama kina wingi wa wabunge, kama ilivyo CCM hivi sasa, unaweza kukuta chama hicho kimeweka "mawe" na bado wanapita kwa kuwa wao ndio wenye wingi wa kura. Labda kuwe na kipengele cha "asilimia ngapi ya kura kutoka chama tawala na ngani toka upinzani".IFIKE MAHALI TUWE NA HILI KUWA UWAZIRI SI KAZI YA KUPEWA NA RAIS MTU AGOMBEE BUNGENI AWEKWE KWENYE KIYI MOTO ATUELEZE NI KWA NINI ANAOUMBA KUWA WAZIRI FULANI WAGOMBEE WATUELEZE MIKAKATI YAO YA KUONGOZA HIZO WIZARA,
Kwa nini Mkuu hujadili hoja za William badala yake unamjadili yeye na wazazi wake? Kwenye siasa hiyo ni dhambi, lakini kule Chit Chat unaweza kufanya hivyo (ikiwa wenyewe watalikubali).Wewe Malecela woga wako ni kuwa CDM ikikubali nafasi yeyote ya uwaziri chance ya mama yako kupata uwaziri itapungua kwa taarifa yako CDM hawataki nafasi kwenye hiyo serikali legelege