Baraza langu la Mawaziri Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan baada ya uchaguzi 2025

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
473
Reaction score
1,682
Nitafurahi sana Baraza la Mawaziri likiwa hivi, watu wa kazi kabisa hawa

1. Pro Kitila Mkumbo - Waziri Mkuu
2. Jumaa Aweso - Waziri wa Maji
3. Hussein Bashe - Waziri wa Kilimo
4. David Kafullila - Waziri wa Mipango na Uwekezaji
5 Waziri wa Viwanda na Biashara - Kadogosa
6 Michezo na Utamaduni - Prof Palamagamba
7 Antony Mavunde - Madini
8. Lukuvi arudishwe ardhi
9 Nishati - Januari Makamba
10.Ulega abakie - Ujenzi
11. Paulo Makonda - Mambo ya Ndani
12. Mawasiliano - Prof Makame
13. Mambo ya Nje aendelee huyu wa sasa
14.Albert Chalamila - Tamisemi akakomeshe urasimu na nidhamu ktk Halmashauri
15 Waziri wa Sheria atafutwe mwingine

Kikosi hiki hata Barcelona anakufa
 
Mbona wengi hawatakuwep kwenye vyeo...
 
Kama unamtaka Prof. Mkumbo endelea kumuombea ila naamini WM Majaliwa ataendelea kuwa waziri mkuu
 
Wewe kweli huna hekima. Yani Makonda awe Waziri wa Mambo ya ndani ili amshughulikie Heche? Hilo tu?. Aiseeh nimemshangaa Sana.
 
Km Mkumbo amekupa Pesa ili umpigie promo, bas rudisha mapemaa, usije sema hukuambiwa.

Utalipa, ambavyo havilipiki. Kaa kimastaa, Lol
 
Namshauri Mhe. Rais asimrudishe Waziri yeyote kwenye Wizara aliyeiongoza kipindi kilichopita. Mfano Mhe. Bashe na Aweso wabadilishwe na kama itapendeza wapewe Wizara zingine.
 
Nao hawana wapinzani wa kijani huko kwao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…