Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 12,998
- 6,661
Kwani Tanzania tuna serikali? mimi naona kama ni genge la wezimeku,hebu niambie serikali ipi inakusanya kodi ni ya ccm au chadema ?
Kwani Tanzania tuna serikali? mimi naona kama ni genge la wezimeku,hebu niambie serikali ipi inakusanya kodi ni ya ccm au chadema ?
wewe na wewe nawe ni kiazi mwingine ambaye hutambui kwa serikali ya ccm ndio imekamata dola,unataka kuwaaminisha wananchi kuwa sio ccm yenye dola na maamuzi ya mwisho yanafanywa na ccm
Hata baba yake huyo wasira Alisha ondoka ccm akaenda nccr, ulafi na ufisadi ndio umemrudisha ccm. mtoto kajitambua, kajua kweli itamuweka huru. Hivi kama baba yako alikua jambazi ukasoma na kula vizuri ukikua na wewe lazima uwe jambazi?liliani wasira amewasaliti watanzania kwa kumkana baba yake wasira na ccm ambayo ndio imemtunza yeye na familia yake na kuungana na hawa chadema ambao hawajawahi kumlipia hata senti ya ada ya shule sembuse kumlisha chakula.liliani utubu kuwasaliti watanzania na baba yako wasira
Hata baba yake huyo wasira Alisha ondoka ccm akaenda nccr, ulafi na ufisadi ndio umemrudisha ccm. mtoto kajitambua, kajua kweli itamuweka huru. Hivi kama baba yako alikua jambazi ukasoma na kula vizuri ukikua na wewe lazima uwe jambazi?
Hakunaga kama Mama Mwakagenda hakuna anayemtosha hapo.
Hawakatazwi kutoa CV zao hapa pia kujipigia debeMwenye kujua CV za wagombea hawa na atujuze wanaJF
Nimekusoma mkuu!Hawakatazwi kutoa CV zao hapa pia kujipigia debe
Wao watatuongoza tuu wanatafuta njia ya kuingia kwenye bunge nyie shabikien mm mkulima cjui ntaingiaje mjengon
Huyo Babake ni NCCR, huko CCM ni maslahi zaidi.liliani wasira amewasaliti watanzania kwa kumkana baba yake wasira na ccm ambayo ndio imemtunza yeye na familia yake na kuungana na hawa chadema ambao hawajawahi kumlipia hata senti ya ada ya shule sembuse kumlisha chakula.liliani utubu kuwasaliti watanzania na baba yako wasira