Baraza la Seneti lapitisha mpango wa dola trilioni 1.9

USD haiwi backed na kitu chochote tangible ili kuipa thamani ndo maana Mrusi na wenzie wanataka kuzifanya sarafu zao ziwe backed na dhahabu maana mfumo wa sasa ulivyo hizo pesa ni karatasi tu zilizopewa thamani na waliobadili mfumo wa kutoka sarafu kua backed na rasilimali fulani hadi kuja mfumo wa sasa ambao sarafu ni karatasi tu iliyopewa thamani fulani ni Marekani kwa ujanja janja wake
Huyo Mrusi na wenzie hawatakuja kuweza kufanya hicho kitu "gold backed Currency" sababu mahitaji ya Currency kama ingekuwa Dhahabu na Silver ni makubwa na kiasi cha dhahabu kilichopo na kinachozalishwa haviwez kumeet demand ya mahitaji ya amount of Currency

Na si USD tu , mpaka sasa ni sarafu zaidi ya 5 zimeweza Ku"evolve" to "fully convertible Currency" ikiwa na maana kwamba hizo nchi (EU, USA,UK, Australia, Canada na hata Japan ) zinaweza kukopa vile zinavyotaka tofauti na nchi kama za Africa ambazo kuna threshold sababu hela zenyewe hazipo hata 'freely convertible' ukikopa sana mikopo kwa sarafu yako au ukatumia sana unatengeza inflation na hata kukausha akiba yote ya fedha za kigeni
 
Watu bado wanakusanya mzigo........ni muda tu
 
Na bunge la Uturuki na la Malawi jana yamepitisha nini? Kwa nini Amerika ??? Bunge la Amerika linatuhusu nini hapa Kibondo kwa Mama Cha Upele?
 
1.9x1,000,000,000,000= 1,900,000,000,000

Hizo juu ni dolari,

Kuileta kwa mkwanja wa jiwe zidisha kwa 2300 tsh

Unapata Shilingi tilioni 4,370/- za kitanzania.

Hebu tuilete kwa bajeti yetu ya tilion 40 kwa mwaka tujue tunaweza zitumbua kwa miaka mingapi ili tiharahei na wauza vitambulisho vya jiwe wale bata tu kwa hiyo miaka.

4370÷40 = 109.25 (miaka 109 na miezi 3 - kizazi cha sasa chote kitakwisha mpunga bado upo tu)

Ushauri tu, wale jamaa wala sio watu wa kubishana nao na wala kuwatunishia msuli,ikiwa sisi rambirambi tu tunakula
Taifa la Rais wa 46+ unalinganisha na Taifa la Rais wa 5+?
Wamefanya kusudi ili watu kama ninyi mpsgawe na number za noti kwenye currency zenu .
 
1.9x1,000,000,000,000= 1,900,000,000,000

Hizo juu ni dolari,

Kuileta kwa mkwanja wa jiwe zidisha kwa 2300 tsh

Unapata Shilingi tilioni 4,370/- za kitanzania.

Hebu tuilete kwa bajeti yetu ya tilion 40 kwa mwaka tujue tunaweza zitumbua kwa miaka mingapi ili tiharahei na wauza vitambulisho vya jiwe wale bata tu kwa hiyo miaka.

4370÷40 = 109.25 (miaka 109 na miezi 3 - kizazi cha sasa chote kitakwisha mpunga bado upo tu)

Ushauri tu, wale jamaa wala sio watu wa kubishana nao na wala kuwatunishia msuli,ikiwa sisi rambirambi tu tunakula

INABIDI MUWE WAPOLE TU! KUJIMWAMBAFAI MBELE YA HAWA WABABE NI UPUMBAVU ULIOPITILIZA!!!
 
Back
Top Bottom