Baraza la mitihani wawajibishwe

dundula

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
539
138
wanajf juz kuna mtu alianzisha thread kuhusu baraza la mitihani kuwafanyia uhuni wanafunzi waliomaliza kidato cha sita mwaka huu ambao walifanya somo la maarifa ya kiislam lakini kwasababu ya ubaguzi wa kidini walionao baadhi yetu walimshambulia sana bila kujua kuwa jamaa alikuwa na uhakika, sasa imedhihirika necta tayari wamebadilisha matokeo hayo lakini tayari wameathiri mpangilio mzima wa matokeo ya mithani kwani baadhi ya shule zilionekana kuwa na div 0 na kwa sasa hazina kabisa,sasa kweli necta walishindwa kugawanya hizo alama au ni hila za kuwakatisha tamaa wanafunzi wa kiislam na kuchafua shule za kiislaam?
 
Kwa hiyo Mkuu Dunduswele, unataka kuniambia hizi habari mnazijua nyinyi tu?

Mimi sijaelewa haya matokeo ya kwanza mliyaona wapi na haya ya pili mmeyaona wapi kiasi mjue nyinyi tu wawili (au pengine na wenzenu kadhaa). Cha msingi ni kufikisha malalamiko yenu mahali panapohusika na sio kulalama.

Halafu sijaelewa kitu kingine, kwamba mtu unamaliza shule na 0 uokolewe na Islamic Knowledge! Sasa unapoenda kuomba kazi itakusaidia nini A yako ya Islamic Knowledge, au ndio mna mkakati wa kuona kuwa mashehe na maimamu wanakwenda na wakati?
 
Dogo fuatilia kwanza uwe na uhakika acha kuropoka alafu we naona bado una ujima kichwani hujui kwa sasa kuna degree ya islamic studies? na kwasababu unawaza tu kuajiliwa hujui hata maana ya elimu shenz gete!
 
Kwa hiyo Mkuu Dunduswele, unataka kuniambia hizi habari mnazijua nyinyi tu?

Mimi sijaelewa haya matokeo ya kwanza mliyaona wapi na haya ya pili mmeyaona wapi kiasi mjue nyinyi tu wawili (au pengine na wenzenu kadhaa). Cha msingi ni kufikisha malalamiko yenu mahali panapohusika na sio kulalama.

Halafu sijaelewa kitu kingine, kwamba mtu unamaliza shule na 0 uokolewe na Islamic Knowledge! Sasa unapoenda kuomba kazi itakusaidia nini A yako ya Islamic Knowledge, au ndio mna mkakati wa kuona kuwa mashehe na maimamu wanakwenda na wakati?

Hii ni taarifa na si malalamiko ! Imeletwa kwa wale wasiofahamu kama wewe. Waliolalamikiwa wamefanya marekebisho. Umeelewa sasa eeehn !?
 
wanajf juz kuna mtu alianzisha thread kuhusu baraza la mitihani kuwafanyia uhuni wanafunzi waliomaliza kidato cha sita mwaka huu ambao walifanya somo la maarifa ya kiislam lakini kwasababu ya ubaguzi wa kidini walionao baadhi yetu walimshambulia sana bila kujua kuwa jamaa alikuwa na uhakika, sasa imedhihirika necta tayari wamebadilisha matokeo hayo lakini tayari wameathiri mpangilio mzima wa matokeo ya mithani kwani baadhi ya shule zilionekana kuwa na div 0 na kwa sasa hazina kabisa,sasa kweli necta walishindwa kugawanya hizo alama au ni hila za kuwakatisha tamaa wanafunzi wa kiislam na kuchafua shule za kiislaam?
itabidi baraza lijaze mashehe watupu ofisini ili kuondoa dhuluma hizi
 
Mimi ndio nlipost huo Uzi wakautoa.
Na bado nalia na Invisible,
Nimemtumia thread ya lalamiko juu ya kuiondoa thread yangu but hajajibu.
 
Kama mtu amefaulu, maksi zake haziwekwi, ni kosa na wawajibishwe,
catch - mtu wa kuwawaibisha ndo hayupo sasa, ndo maana wala hawana wasiwasi,
na wasingelalamika ingepita hivyo hivyo.
Sijui kama ni hilo somo moja tu au kuna mengine pia, unafahamu?
Maofisi ya serikali siku hizi !! Mhhhh!! Tukisema tutaambiwa mara wakritu au wailamu, mara ccm au chadema, mara mzbari au mbara, ngoja tunyamaze
 
Imefika wakati majina yasitumike kwenye mitihani tutumie tu namba ili kukomesha hila zozote zitakazo jitokeza.
 
Kama mtu amefaulu, maksi zake haziwekwi, ni kosa na wawajibishwe,
catch - mtu wa kuwawaibisha ndo hayupo sasa, ndo maana wala hawana wasiwasi,
na wasingelalamika ingepita hivyo hivyo.
Sijui kama ni hilo somo moja tu au kuna mengine pia, unafahamu?
Maofisi ya serikali siku hizi !! Mhhhh!! Tukisema tutaambiwa mara wakritu au wailamu, mara ccm au chadema, mara mzbari au mbara, ngoja tunyamaze
Ile taarifa ya kwanza kuhusu jambo hili, ilibezwa na kutupiwa kila aina ya kashfa na kejeli ! Wasomi wa Kigalatia hawakujipa muda wa ku-reasoning ! Mara nyingi wanafunzi wengi wanaofanya mtihani huo "level" yao iko juu sana katika masuala ya dini, kwa mfano:
Moja ya swali katika mtihani huo, unaulizwa; Kwa nini unaamini Mwenyezi Mungu yupo ? Jadili.
Hapa unategemewa umahiri mkubwa katika kuzitoa "aya" na kuzisherehesha (kufafanua) kutoka katika Qur'an na hata zilizo "sahihi'' (salimika) katika Biblia. Hivyo hii sio bahari ya kuogelea mtu anaejua "multiple choice". Pia katika suala la matokea ni vizuri kutafiti, aidha yawe mazuri au mabaya.
Watendaji hawa hawa walio serikalini, wamethibitika (kiutafiti) "kuwafaulisha" wanafunzi kwenda secondary ambao hawajui kusoma wala kuandika (zaidi ya 5,000 !). Je hili limetokeaje ? Angalia tunavyojenga hoja zetu !
 
kwan c wamerekebisha ktk muda muafaka? mnalalamika nn?
Hapa suala sio kurekebisha matokeo km ni hivyo hata mawaziri waliotimuliwa juzi rais angewaacha wajirekebishe watendaji wa baraza la mitihani hawafai kuwepo kwenye ofisi inayohudumia watu wa dini mbalimbali kwani wameonyesha waziwazi walivyo wadini wakiachwa watalifikisha pabaya taifa hili kwani kwa sasa kila mtu anajua haki yake na yuko tayari kuidai pindi inapoonekana koporwa mr kamugisha una maneno ya kiccm2 amka boss watu kwasasa wamepiga hatua kubwa mno kuliko unavyojua!
 
itabidi baraza lijaze mashehe watupu ofisini ili kuondoa dhuluma hizi

km wagala walivyojazwa humo na kuanza kuua hata shule za serikali na kupandisha chati shule zao kwa ulaghai na wiziwizi tu aminiusiamini wanafunzi bora na shule bora ni za serikali na sio shule zenu hizo za misheni
 
Dundula itabidi upewe kazi baraza la mitihani ili uwasaidie hao waislam. Mi ningekuwa wewe ningewahimiza waislam wenzangu kutilia maanani elimu dunia. Hata wakipewa A kama kichwa ni zero brain haisadii ndugu yangu. Mara zote nawakumbusha mnapokuja hapa jamii forum msiache akili zenu masjid.
 
Ndugu yangu kibri si maungwana adabu ni sifa njema labda haya huenda haya yakakusaidia japo kidogo na utakaporudi tena utarudi na heshima :

"In 1987 the then Minister for Education and Culture the late Professor Kighoma Malima discovered that deserving Muslim candidates were deliberately being denied access to secondary education.(It is curious to note that throughout his 25 - year rule, Nyerere had always appointed a Christian to head the Ministry of Education and a Muslim to head the Ministry of Home Affairs.)

The trick used by the Christian dominated panel was to select the candidates after decoding their examination numbers. Professor Malima directed the panel to select and announce the results using examination numbers only. In that year the percentage of selected Muslim candidates rose by 40 per cent! He alerted the president about the matter and suggested a thorough investigation be carried out. He was branded “Mujahidina” and removed from that portfolio and the selection panel reverted to its old system. He repeated those charges at a public rally in Dar es Salaam in 1995. Any government which is “fiercely secular” would certainly wish to know the truth of the matter.

Apparently there was no need for the government to investigate the obvious. On July 7, 1999 Muslim leaders paid a courtesy call to President Mkapa at the State House in Dar es Salaam. In the course of their informal discussions Muslims raised the issue of decoding examination numbers. According to my informant the president was clearly surprised. When he asked his Minister for Education and Culture who also attended the talks, the minister confirmed the Muslims’ account. As a result one of the numerous but supposed “isolated” cases came to light in January 1999.

A Muslim candidate one Adam Ramadhani Kindenge of Gilman Rutihinda primary school was not selected.

His father disputed the fairness of the selection process and demanded to be shown the scripts. It was anembarrassing case. Christian candidates with lower points were selected and Adam who had higher points was left out. No one in the ministry could hazard an explanation. The case was disconcerting in view of Kitwana Kondo’s question in Parliament. But it was a case which like others in the past the ministry managed to suppress. For details see Ramadhani Kindenge’s two letters to the Ministry of Education and Culture (1999).

Despite protests from Muslims, the same ministry had also successfully managed to hide from many unsuspecting Tanzanians another discomfiting letter bearing Ref. No. E10/MMC-1/183 of 9 June, 1998 from the Morogoro Municipal Education Officer directing all Headteachers to submit to that office the names of all Standard Seven Catholic students! When a weekly Muslim newspaper An-Nuur confronted the ministry with that letter the spokesperson was too embarrassed to comment. He promised however to investigate the matter. A time-tested device of dropping a hot potato!

Adam Kindenge’s case above is not an isolated one. Muslims have a long list of such cases. The name of a selected Muslim candidate, Kopa Abdallah of Kichangani primary school, in Kilosa was in 1983 unfairly cancelled out in favour of a Christian, Mr. Anthony Samirani who scored less points. Mr. Kopa is today employed as a driver. Was it merely a case of corruption? In his long career as a Secondary School Headmaster and later as a high ranking civil servant, Mr. Bori Lilla was twice confronted with incredible discoveries of religious discrimination in the country. Mr. Bori Lilla is today one of the highly respected Muslim elders in the country and is affectionately referred to as “Mzee Lilla”.

He told me and he has repeated this account to many others that he was once in the marking and selection committee and was mistaken for a Christian. After marking the scripts he decoded and recorded the names according to their pass marks, and there were as many Muslims as there were Christians. A fellow panelist who was a Christian saw the list and was very furious, he said in a loud voice, “Wewe huoni kama orodha yako ina Waislamu wengi sana, au wewe ni mgeni nini hapa?” (Don’t you see that your list has so many Muslims, or could it be that you are a new comer here?). Mzee Lilla says that he responded in an equally loud voice, “Mimi siyo mgeni, mimi ni Muislamu”. The room was gripped with an eerie silence.

Mzee Lilla witnessed the second revelation of deliberate religious discrimination when he was in the selection panel for allocating High School places for deserving Ordinary Level candidates. It was during the Islamic holy month of Ramadhan and they had almost finished their task when Christian panelists broke for lunch. The panel had only two Muslims who stayed behind. The other Muslim panelist, Mr. Abdulrahman Mwalongo, was writing something and needed a ruler which was in the Chairperson’s draw.

When he opened it he found along with the ruler, a list of 25 First class Muslim candidates who had not yet been allocated any place in High Schools while all their Christian counterparts had already been placed.

And the panel’s chairperson who was also a Reverend had not even hinted that there was such a list.

Mwalongo is from the Hehe ethnic group. And the Hehe are known in Tanzania as fierce warriors. When their colleagues returned, Mwalongo reminded the chairperson about the list in his draw. He brushed aside Mwalongo’s concern saying that those candidates would be taken care of later.

Quite unexpectedly,Mwalongo banged his table so forcefully that all members were taken aback. Shaking with rage Mwalongo told the chairperson no business would take place in that room before the allocation of the 25 Muslim students. The chairperson backed down and those students were placed. In July 1997 I cross-checked Mzee Lilla’s account with Mwalongo himself. He confirmed the story. As I am writing this book, both of them are still alive and can easily be contacted for further details."

Baada ya kuonekana ukweli huu katika kitabu cha Prof. Njozi serikali ya Benjamin Mkapa ilikipiga marufuku. Kuwa na kitabu hicho ni kosa la jinai.
 
km wagala walivyojazwa humo na kuanza kuua hata shule za serikali na kupandisha chati shule zao kwa ulaghai na wiziwizi tu aminiusiamini wanafunzi bora na shule bora ni za serikali na sio shule zenu hizo za misheni

"In 1987 the then Minister for Education and Culture the late Professor Kighoma Malima discovered that deserving Muslim candidates were deliberately being denied access to secondary education.(It is curious to note that throughout his 25 - year rule, Nyerere had always appointed a Christian to head the Ministry of Education and a Muslim to head the Ministry of Home Affairs.)

The trick used by the Christian dominated panel was to select the candidates after decoding their examination numbers. Professor Malima directed the panel to select and announce the results using examination numbers only. In that year the percentage of selected Muslim candidates rose by 40 per cent! He alerted the president about the matter and suggested a thorough investigation be carried out. He was branded "Mujahidina" and removed from that portfolio and the selection panel reverted to its old system. He repeated those charges at a public rally in Dar es Salaam in 1995. Any government which is "fiercely secular" would certainly wish to know the truth of the matter.

Apparently there was no need for the government to investigate the obvious. On July 7, 1999 Muslim leaders paid a courtesy call to President Mkapa at the State House in Dar es Salaam. In the course of their informal discussions Muslims raised the issue of decoding examination numbers. According to my informant the president was clearly surprised. When he asked his Minister for Education and Culture who also attended the talks, the minister confirmed the Muslims' account. As a result one of the numerous but supposed "isolated" cases came to light in January 1999.

A Muslim candidate one Adam Ramadhani Kindenge of Gilman Rutihinda primary school was not selected.

His father disputed the fairness of the selection process and demanded to be shown the scripts. It was an embarrassing case. Christian candidates with lower points were selected and Adam who had higher points was left out. No one in the ministry could hazard an explanation. The case was disconcerting in view of Kitwana Kondo's question in Parliament. But it was a case which like others in the past the ministry managed to suppress. For details see Ramadhani Kindenge's two letters to the Ministry of Education and Culture (1999).

Despite protests from Muslims, the same ministry had also successfully managed to hide from many unsuspecting Tanzanians another discomfiting letter bearing Ref. No. E10/MMC-1/183 of 9 June, 1998 from the Morogoro Municipal Education Officer directing all Headteachers to submit to that office the names of all Standard Seven Catholic students! When a weekly Muslim newspaper An-Nuur confronted the ministry with that letter the spokesperson was too embarrassed to comment. He promised however to investigate the matter. A time-tested device of dropping a hot potato!

Adam Kindenge's case above is not an isolated one. Muslims have a long list of such cases. The name of a selected Muslim candidate, Kopa Abdallah of Kichangani primary school, in Kilosa was in 1983 unfairly cancelled out in favour of a Christian, Mr. Anthony Samirani who scored less points. Mr. Kopa is today employed as a driver. Was it merely a case of corruption? In his long career as a Secondary School Headmaster and later as a high ranking civil servant, Mr. Bori Lilla was twice confronted with incredible discoveries of religious discrimination in the country. Mr. Bori Lilla is today one of the highly respected Muslim elders in the country and is affectionately referred to as "Mzee Lilla".

He told me and he has repeated this account to many others that he was once in the marking and selection committee and was mistaken for a Christian. After marking the scripts he decoded and recorded the names according to their
pass marks, and there were as many Muslims as there were Christians. A fellow panelist who was a Christian saw the list and was very furious, he said in a loud voice, "Wewe huoni kama orodha yako ina Waislamu wengi sana, au wewe ni mgeni nini hapa?" (Don't you see that your list has so many Muslims, or could it be that you are a new comer here?). Mzee Lilla says that he responded in an equally loud voice, "Mimi siyo mgeni, mimi ni Muislamu". The room was gripped with an eerie silence.

Mzee Lilla witnessed the second revelation of deliberate religious discrimination when he was in the selection panel for allocating High School places for deserving Ordinary Level candidates. It was during the Islamic holy month of Ramadhan and they had almost finished their task when Christian panelists broke for lunch. The panel had only two Muslims who stayed behind. The other Muslim panelist, Mr. Abdulrahman Mwalongo, was writing something and needed a ruler which was in the Chairperson's draw.

When he opened it he found along with the ruler, a list of 25 First class Muslim candidates who had not yet been allocated any place in High Schools while all their Christian counterparts had already been placed. And the panel's chairperson who was also a Reverend had not even hinted that there was such a list.

Mwalongo is from the Hehe ethnic group. And the Hehe are known in Tanzania as fierce warriors. When their colleagues returned, Mwalongo reminded the chairperson about the list in his draw. He brushed aside Mwalongo's concern saying that those candidates would be taken care of later.

Quite unexpectedly,Mwalongo banged his table so forcefully that all members were taken aback. Shaking with rage Mwalongo told the chairperson no business would take place in that room before the allocation of the 25 Muslim
students. The chairperson backed down and those students were placed. In July 1997 I cross-checked Mzee
Lilla's account with Mwalongo himself. He confirmed the story. As I am writing this book, both of them
are still alive and can easily be contacted for further details."

Baada ya kuonekana ukweli huu katika kitabu serikali ya Benjamin Mkapa ilikipiga marufu
 
"In 1987 the then Minister for Education and Culture the late Professor Kighoma Malima discovered that deserving Muslim candidates were deliberately being denied access to secondary education.(It is curious to note that throughout his 25 - year rule, Nyerere had always appointed a Christian to head the Ministry of Education and a Muslim to head the Ministry of Home Affairs.)

The trick used by the Christian dominated panel was to select the candidates after decoding their examination numbers. Professor Malima directed the panel to select and announce the results using examination numbers only. In that year the percentage of selected Muslim candidates rose by 40 per cent! He alerted the president about the matter and suggested a thorough investigation be carried out. He was branded “Mujahidina” and removed from that portfolio and the selection panel reverted to its old system. He repeated those charges at a public rally in Dar es Salaam in 1995. Any government which is “fiercely secular” would certainly wish to know the truth of the matter.

Apparently there was no need for the government to investigate the obvious. On July 7, 1999 Muslim leaders paid a courtesy call to President Mkapa at the State House in Dar es Salaam. In the course of their informal discussions Muslims raised the issue of decoding examination numbers. According to my informant the president was clearly surprised. When he asked his Minister for Education and Culture who also attended the talks, the minister confirmed the Muslims’ account. As a result one of the numerous but supposed “isolated” cases came to light in January 1999.

A Muslim candidate one Adam Ramadhani Kindenge of Gilman Rutihinda primary school was not selected.

His father disputed the fairness of the selection process and demanded to be shown the scripts. It was an embarrassing case. Christian candidates with lower points were selected and Adam who had higher points was left out. No one in the ministry could hazard an explanation. The case was disconcerting in view of Kitwana Kondo’s question in Parliament. But it was a case which like others in the past the ministry managed to suppress. For details see Ramadhani Kindenge’s two letters to the Ministry of Education and Culture (1999).

Despite protests from Muslims, the same ministry had also successfully managed to hide from many unsuspecting Tanzanians another discomfiting letter bearing Ref. No. E10/MMC-1/183 of 9 June, 1998 from the Morogoro Municipal Education Officer directing all Headteachers to submit to that office the names of all Standard Seven Catholic students! When a weekly Muslim newspaper An-Nuur confronted the ministry with that letter the spokesperson was too embarrassed to comment. He promised however to investigate the matter. A time-tested device of dropping a hot potato!

Adam Kindenge’s case above is not an isolated one. Muslims have a long list of such cases. The name of a selected Muslim candidate, Kopa Abdallah of Kichangani primary school, in Kilosa was in 1983 unfairly cancelled out in favour of a Christian, Mr. Anthony Samirani who scored less points. Mr. Kopa is today employed as a driver. Was it merely a case of corruption? In his long career as a Secondary School Headmaster and later as a high ranking civil servant, Mr. Bori Lilla was twice confronted with incredible discoveries of religious discrimination in the country. Mr. Bori Lilla is today one of the highly respected Muslim elders in the country and is affectionately referred to as “Mzee Lilla”.

He told me and he has repeated this account to many others that he was once in the marking and selection committee and was mistaken for a Christian. After marking the scripts he decoded and recorded the names according to their
pass marks, and there were as many Muslims as there were Christians. A fellow panelist who was a Christian saw the list and was very furious, he said in a loud voice, “Wewe huoni kama orodha yako ina Waislamu wengi sana, au wewe ni mgeni nini hapa?” (Don’t you see that your list has so many Muslims, or could it be that you are a new comer here?). Mzee Lilla says that he responded in an equally loud voice, “Mimi siyo mgeni, mimi ni Muislamu”. The room was gripped with an eerie silence.

Mzee Lilla witnessed the second revelation of deliberate religious discrimination when he was in the selection panel for allocating High School places for deserving Ordinary Level candidates. It was during the Islamic holy month of Ramadhan and they had almost finished their task when Christian panelists broke for lunch. The panel had only two Muslims who stayed behind. The other Muslim panelist, Mr. Abdulrahman Mwalongo, was writing something and needed a ruler which was in the Chairperson’s draw.

When he opened it he found along with the ruler, a list of 25 First class Muslim candidates who had not yet been allocated any place in High Schools while all their Christian counterparts had already been placed. And the panel’s chairperson who was also a Reverend had not even hinted that there was such a list.

Mwalongo is from the Hehe ethnic group. And the Hehe are known in Tanzania as fierce warriors. When their colleagues returned, Mwalongo reminded the chairperson about the list in his draw. He brushed aside Mwalongo’s concern saying that those candidates would be taken care of later.

Quite unexpectedly,Mwalongo banged his table so forcefully that all members were taken aback. Shaking with rage Mwalongo told the chairperson no business would take place in that room before the allocation of the 25 Muslim
students. The chairperson backed down and those students were placed. In July 1997 I cross-checked Mzee
Lilla’s account with Mwalongo himself. He confirmed the story. As I am writing this book, both of them
are still alive and can easily be contacted for further details."

Baada ya kuonekana ukweli huu katika kitabu serikali ya Benjamin Mkapa ilikipiga marufu

Too much copy and paste
 
Back
Top Bottom