Baraza la mitihani Tanzania

mwangalizi

JF-Expert Member
Apr 24, 2012
842
512
Baraza hadi tunaenda mwezi wa kumi limeshindwa kulipa fedha za picha za usajili kidato cha pili na nne 2020.
Picha hizo zilipigwa tangu Januari kwa shule za serikali.
Zilipigwa kwa pesa za nyanya, 500/= kwa kichwa cha mwanafunzi!
Tetesi zinasema pesa hizo zimeingizwa kwenye kampeni ya ccm na wengine wanasema wajanja wameziweka kwenye fixed akaunti na wanakula faida.
Ukweli ni upi?
Je, mmewalipa wapiga picha wote?
Ni kweli fedha zimeelekezwa kwenye kampeni ya ccm?
Ni kweli mmebuni mradi kufidia nyongeza za mishahara?
 
Nani anathubutu aise, baba anafoka huyo! Utafikiri Tupac

Kuna mtu aliyekuwa Jabari kuliko Firauni wa Zama za Nabii Musa???-- Firauni aliishia wapi??, Hitler aliishia wapi??, Stalin aliishia wapi?? nk.
 
  • Thanks
Reactions: PNC

Tatizo wanadamu wengi tuna kiburi cha uzima! Na jeuri ya madaraka! Hata hatuwakumbuki kina Firauni. Tunaweka wizi na dharau mbele
 
Tuwe wakweli tuache siasa, mbona hela washalipa toka wiki iliopita na Mimi ni mmojawapo nimelipwa na hata wachache ninaojuana nao pia nimewasiliana nao wamelipwa
Baraza hadi tunaenda mwezi wa kumi limeshindwa kulipa fedha za picha za usajili kidato cha pili na nne 2020.
Picha hizo zilipigwa tangu Januari kwa shule za serikali.
Zilipigwa kwa pesa za nyanya, 500/= kwa kichwa cha mwanafunzi!
Tetesi zinasema pesa hizo zimeingizwa kwenye kampeni ya ccm na wengine wanasema wajanja wameziweka kwenye fixed akaunti na wanakula faida.
Ukweli ni upi?
Je, mmewalipa wapiga picha wote?
Ni kweli fedha zimeelekezwa kwenye kampeni ya ccm?
Ni kweli mmebuni mradi kufidia nyongeza za mishahara?
 
Tuwe wakweli tuache siasa, mbona hela washalipa toka wiki iliopita na Mimi ni mmojawapo nimelipwa na hata wachache ninaojuana nao pia nimewasiliana nao wamelipwa
Fake idz, yawezekana ndiyo baraza wenye fixed account
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Mkoa wa mwanza, vp uliandika barua kudai na uliandika account number? Kama ulijaza heb angalia kwenye account yako unaweza kuta ushalipwa. Mimi sms ya malipo ni hii hapa

Kiasi cha TZS __kimewekwa kwenye akaunti yako inayoishia na ___ tarehe 22-09-2020. NMB Karibu Yako!
Mkoa gani ndugu?
 
Tanga hatujalipwa, nimecheki na Kilimanjaro, Arusha, Manyara, Singida na Mbeya, nao pia wanalia.
Kazi ya tangu Januari, 500/= wanakaa nayo mwaka mzima ni haki hiyo? Au unaona ni siasa?
 
Mimi nimelipwa na nilipoona sms ya malipo niliwatafuta wenzangu wa shule nyingine wote wakasema wamepata hiyo hela.POLE ILA NAAMINI UTAPATA HIV KARIBUNI
Tanga hatujalipwa, nimecheki na Kilimanjaro, Arusha, Manyara, Singida na Mbeya, nao pia wanalia.
Kazi ya tangu Januari, 500/= wanakaa nayo mwaka mzima ni haki hiyo? Au unaona ni siasa?
 
Baraza hadi tunaenda mwezi wa kumi limeshindwa kulipa fedha za picha za usajili kidato cha pili na nne 2020.
Picha hizo zilipigwa tangu Januari kwa shule za serikali.
Zilipigwa kwa pesa za nyanya, 500/= kwa kichwa cha mwanafunzi!
Tetesi zinasema pesa hizo zimeingizwa kwenye kampeni ya ccm na wengine wanasema wajanja wameziweka kwenye fixed akaunti na wanakula faida.
Ukweli ni upi?
Je, mmewalipa wapiga picha wote?
Ni kweli fedha zimeelekezwa kwenye kampeni ya ccm?
Ni kweli mmebuni mradi kufidia nyongeza za mishahara?
Zimetumika kupanua uwanja chato. Kwani wapiga picha hamna watoto wa shule?
Kueni wazalendo,awamu ya tano inajenga SGR,stiglaz na kununua ndege kwa cash" sauti ya magufuli akiwa anawapiga wananchi wake
 
Acha basi tukapiga selfie na huo uwanja
 
  • Thanks
Reactions: PNC
-1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom