Baraza la Mitihani la Taifa lakanusha kuzuiliwa kwa Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne 2015

Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,894
20,375
image.jpg
Hili ndilo tamko lililotolewa na Baraza ambalo lipo kwenye tovuti yake kuhusu uvumi uliozagaa kuwa matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne 2015 yamezuiliwa kutokana na udanganyifu uliojitokeza.

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom