Baraza la Mawaziri limehamia India?

Baraza la Mawaziri limehamia India?

Hector Cooper

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2023
Posts
779
Reaction score
1,177
Wakuu habari za leo! kama mnavyojua kuwa mkuu wa kaya yupo huko kwa Mheshimiwa Modi lakini naona karibu Cabinet yote ipo New Delhi.

IMG-20231010-WA0005.jpg
 
Wakuu habari za leo! kama mnavyojua kuwa mkuu wa kaya yupo huko kwa Mheshimiwa Modi,!lakini naona karibu Cabinet yote ipo New Delhi. View attachment 2778166
si wapo kazini mkuu,
sawa tu na wakiwa wote Dodoma.

au tena utakuja na bandiko mawaziri wote wako Dodoma.

au wakiwa wote kazini Arusha napo utakuja na bandiko mawaziri wote wako Arusha au dar?

Raisi na mawaziri wapo kazini
 
Per diem za Dola hizo mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji4] na hapo tunalalamik hatuna dola
Hivi mnavyolalamika per diem mnajua mtoaji wa hizo pesa na kuwagharamikia hao waheshimiwa..?

Hizi deligation huwa zinahudumiwa na wafanya biashara acheni wivu na ni bora wakapapatue huko wanaweza pata kitu..
 
Back
Top Bottom