Makini
Senior Member
- Dec 23, 2014
- 154
- 59
Habari zenu Wana JF,
Mimi si mjuzi sana wa mchakato mzima wa uteuzi katika nafasi mbalimbali mara baada ya Uchaguzi Mkuu kupita, lakini naona kama vile mara hii imechukua muda sana kwa baraza la mawaziri kuundwa.
Mi naona kama uvumilivu wangu unanishinda vile, nahitaji kweli kuona hao mini tingatingas watakaomsaidia Pombe. Ni lini atawatangaza?