Ki Mun
JF-Expert Member
- Oct 6, 2014
- 3,443
- 4,386
Kwa Baraza hili la Mawaziri la JPM, japo kajaza Maprofesa na Madaktari lakini wote hao ni wazee sasa na wamejawa na akili na mawazo ya mwaka 47 kabla dunia haija-progress, si ajabu wanaogopa meseji za twitter, facebook na whatsapp.
Nimewaangalia wale wazee wanavyoapa pale Ikulu wangeambiwa walale chini wote wangelala, hata Profesa Kabudi ameishia tu kumtukuza Magufuli kwa kumteua na sioni kama ana lolote jipya la kumsaidia Magufuli, na hivi hajui siasa akiingia mjengoni atachachafywa na akina Lissu na hapo ataanza kutamani kuifuta TLS kama mwenzake Mwakyembe.
Kwa hawa wazee - Mwakyembe, Kabudi, Mahiga, Ndalichako, Mwijage a.k.a Mzee wa Sound, Muhongo nk...watu ambao wanahaingaikia tu kutengeneza pensheni zao hakika mnaosubiria VIWANDA subirieni tu ila kitakachowapata ni VI-WONDER; JPM is simply lost, fair and square!