Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,184
MF haiandikiki kwa kirefu hapa.
Hawa jamaa Wana roho mbaya sanaunataka ban.
Sisi tunasubiri baraza la mawaziri la jamhuri ya muungano,na hatuna haraka hata kama ni miezi sita ijayo,ma naib waziri wapo,katibu mkuu na wakurugenzi tele,wewe subiri hao wako wa ghetto
vyombo vya habari vimeshadadia wee mpaka sasa naona vimesanda. kila mwandishi alikuwa akijinasibu kivyake lakini wamechoka. wengine wakasema jana ndo tungejuwa nani ni nani na nani siyo nani, lakini wapi.
sasa nataka kujua, hili baraza 'jipya' la mawaziri linaandaliwa ghetto?