Baraza la Mapinduzi: Bado lipo?

Baraza la Mapinduzi: Bado lipo?

Toosweet

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2012
Posts
2,140
Reaction score
1,982
Kwenu,

Leo tarehe 12 Januari ni kumbukumbu ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Nimekua nikisikiliza habari zinazohusu zinazohusu Serikali ya Zanzibar au Rais wa Zanzibar. Mara zote hutamkwa 'Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi'.

Kama bado wapo wajumbe halisi wa Baraza la Mapinduzi basi ni wazee sana. Hawawezi kuwa na mchango wowote wa ushauri kwa Mwenyekiti wa 'Mapinduzi Matukufu' kama yanavyoitwa.

Hivi kihalisia bado Baraza la Mapinduzi lipo? Lina kazi gani? Karibuni tujifunze kwa wanaojua.
 
mwenyewe umejionea,hakuna kitu kama hicho,wanakimbizana tu kama migambo yetu.
 
Back
Top Bottom