nashindwa kujua though am a muslim,sijui maadil wanayoyazungumzia ni yapi?hebu tuanze na maadil kwenye taasis zetu,mfano shulen vijana hawana maadili,pia hata maadil ya kusimamia taasis hakuna,nadhan tujikite huko,coz kama zomeazomea hata Bungen ipo,miskitin pia ukizingua unazomewa,
MASHEKH MSIKURUPUKE MWAIDHALILISHA DINI NA WAUMIN PIA
WABILLAH TAWFIQ
Mia mbili ( 200 ) Kitu gani banaaaa...........?? Watu wamerundikiwa maposho na wananchi hao wa magogoni wapo kimyaaa tu ! Alafu huu unafiki wa Wabunge wa mkoa wa DAR ES SALAAM ni waajabu sana yaani wao kwenye posho kimyaa ila kwenye nauli ya feri ndio wameona waungane dhidi ya Magufuli............?? Unafiki mkubwa ! Hiyo nauli kwanza bado ndogo sanaa................!
Mkuu, umenikumbusha pale wabunge wa chadema alivyokuwa wanatoka bungeni walikuwa wanazomewa na wabunge wa ccm + cuf, lakini wa mashehe walikuwa kimya.
waislam kuna mahali tumejikwaaa,na hata vijana wa kiislam bado hawatak kujitambua,hawa mashekh weng hawana elimu ya circular,na wapo kimaslah na kwa matumbo yao,
Vijana wa kiislamu ni wakati wa kuamka na kujipanga,tusiwaendekeze watu wanaoendekeza njaa,
Nadhani hapa umechanganya mambo? Swali ni mabalaza ya waiswalmu na sio idadi ya madhehebu (kama unavyotoa mfano wa Mbeya).
hoja ya msingi ya kuulizwa hivyo hapo ni kumchllenge mheshimiwa mbunge ajaribu "kupima" hicho kiingilio cha hapo terminal ambapo ni jimbo lake la uchaguzi then atizazame kama kuna makosa ashughulikie kwanza hilo kabla ya kukimbilia kupanda panton!Hii hoja ya kuingia Ubungo Terminal imeanzia mbali kidogo lakini wenye akili zao wakaipuuza kwa sababu haina mashiko wala mantiki kwa somo lililopo mezani.
Naomba kuuliza, T.Shs. 200/= za kuingia Ubungo Terminal ni nauli?
Kinachozungumziwa hapa ni nauli tena ya Pantoni Kigamboni na siyo viingilio vya kuingilia sijui wapi; mtaanza pia kuhoji na sadaka tunazotoa sijui wapi ni za nini. Jamani, lets use common sense.
soma gazeti lenyewe
Pamoja mkuu, lakini hawa jamaa wanatukwaza hata sisi waiislam wengine na matamko yao, mbona hawakuongelea kauli aliyoitumia magufu kuhusu kupiga mbizi au alikuwa sahihi kusema watu wapige mbizi? inabidi tuangalie wapi tumejikwaa. waliozomea ni watu wa kigamboni iweje wapambane na mnyika?
hoja ya msingi ya kuulizwa hivyo hapo ni kumchllenge mheshimiwa mbunge ajaribu "kupima" hicho kiingilio cha hapo terminal ambapo ni jimbo lake la uchaguzi then atizazame kama kuna makosa ashughulikie kwanza hilo kabla ya kukimbilia kupanda panton!
mbona hawasemi wakazi wa kivukoni jimbo la zungu wanalipa nauli kubwa kwenda kiluvya?au kwa vile zungu baragashia mwenzao,.walipewa sahani ngapi za pilau?
Kauli za hawa mabwana zinatia kichefuchefu: juzi hawa hawa walikuja na tamko ya 'Rais ajaye atoke Zanzibar', 'Leo wana la Maghufuli...', 'Miezi iliyopita la DC mvuliwa hijabu/ kitambaa'.Ni lini mabaraza haya yana hoja za maana hasa za kutetea haki za wanyonge na kutetea utajiri wa taifa letu unaoliwa kiwaziwazi? Yanasituka tu pale mkubwa fulani anapoguswa. na Nina shaka sana na uzalendo wa hawa wenzetu. Hawa ni sehemu ya ccm ya kuvuruga wapinzani na demokrasia nchini na ni wabinafsi wakubwa! Mbona hawasemi la waziri huyu kuwatukana wananchi?
mi nashukuru tu magufuli sio muislam maana inaonekana angekua muislam hali ya hewa hapa ingechafuka zaidi ya hivi,ndio mana kila wakati huwa nasema nyie waumini wa hizi ABRAHAMIC religions mna tabu sana,kila mjadala ukiibuka lazima muuhusishe na hizo dini zenu mbili,hapa utaona tunakosa mchango mizuri independent kutokana na watu kuigeuza kwa makusudi hii issue ionekane ya kidini,upotoshaji wa hali ya juu kupata kutokea,tujadili usahihi ama upotofu wa magufuli(serikali)kuongeza nauli baada ya nauli hiyo kudumu kwa miaka 14,na kuonekana kuwa expired sasa,wengine hapa mna nyumba na mna wapangaji kwenye nyumba zenu,vipi hamjapandisha kodi ya nyumba zenu hata mara moja kwa angalau miaka mitano?Huwa siwaelewi Waislamu.
Tatizo ni kutokusoma au nini ?
Waislamu wanahitaji kusaidiwa mana wanadanganyika mno.
Sorry nikiwa nimewaudhi.
Vizuri kabisa nakubaliana na wewe kwamba ni challenge ila cha kushangaza kaonekana Mnyika tu! Sawa, unaweza kusema ni mfano. Je, na aliyoyaongea Magufuli Shehe hakuyaona? Mbona kaegemea upande mmoja? Wananchi walio wengi wa Kigamboni wamepinga kauli ya Magufuli, CCM Dar "wamepinga" kauli ya Magufuli lakini Shehe kamwona Mnyika tu na Ubungo yake.
Hebu acheni UNAFIKI wajameni! Hebu acheni kutumika kisiasa ndugu zetu. Kubali usikubali, kauli ya Shehe ina AJENDA YA SIRI NDANI YAKE. OVER!
..hilo tamko ni la Shekhe binafsi au la Baraza la Maadili ya Kiislamu Tanzania?
..halafu kwanini Shekhe/Baraza wamemshambulia Mnyika peke yake wakati ktk sakata hii yuko pamoja na wabunge watatu wa CCM?
..pia CCM mkoa wa DSM wameungana na wabunge[mnyika,mtemvu,zungu,ndugulile] kupinga ongezeko la nauli. sasa kwanini Shekhe/Baraza hawajaushukia uongozi wa CCM mkoa wa DSM?
Romantic,
..Pombe Magufuli kamshambulia Mnyika.
..Shekhe na Baraza lake wanamshambulia Mnyika.
..Mchambuzi wa JF naye anamshambulia Mnyika.
..mimi nadhani hizi ni dalili za kukimbia hoja ya msingi hapa.