Nani kuwamo na nani kutokuwamo kwenye baraza jipya ? Asha rose atakuwepo.Mwanri atakuwepo mwingine ni ....
higogikrjkfkbol:mullet:
Baraza linaendelea kusukwa. litakua imara hata maji hayapenyi
Nani kuwamo na nani kutokuwamo kwenye baraza jipya ? Asha rose atakuwepo.Mwanri atakuwepo mwingine ni ....
Jacky cliff,masogange agnes,mama maria nyerere, itika daudi mwangosi, julius malema,mzee majuto, charles kimei,haruna moshi na mbwana samatta. Hao hawakosi kwenye baraza lijalo la mawaziri.