Barakoa! Zinauzwa karibuni

Retreat

JF-Expert Member
Dec 14, 2010
229
70
Ndugu wana JF, karibu ujipatie barakoa safi kabisa kwa bei chee. Tunauza Tsh 55,000 tu kwa Box lenye barakoa 50 ndani. Ndani ya Jiji la Dar utaletewa hadi ulipo, na mikoani tutakutumia kwa njia ya Bus (Gharama ya usafiri utalipia, mara nyingi kwa Box 1 haizidi 5,000).

Karibuni sana.

Mzigo upo wa kutosha kabisa, kama unavyoonekana katika picha nilizo ambatisha.

Mawasiliano: 0766 897 999.

1.jpeg
2.jpeg
3.jpeg
4.jpeg
5.jpeg
 
Uzalendo Installer,
Siyo kwamba tumesahau kwamba CORONA bado ipo?? Si unaona bado kwenye daladala tunakaa seat level. Mwendokasi bila Barakoa hupandi, Shule za awali na Msingi bado hazijafunguliwa.

Anyway, acha tusubiri na muda utaamua kama ni wrong timing ama vipi.

Asante sana kwa maoni yako.
 
Jf ina wajuaji sana, yaani kuna mtu hakosi cha kusema negative kwa posts yoyote ambayo haimuhusu, na inawezekana yeye anavaa mask kwa kuwa anaamini corona bado ipo na inaua, vitu vingine hata kama haupo interested ni bora upite tu kwani ukipita tu utapungukiwa nini?
 
Uzalendo Installer,
Siyo kwamba tumesahau kwamba CORONA bado ipo?? Si unaona bado kwenye daladala tunakaa seat level. Mwendokasi bila Barakoa hupandi, Shule za awali na Msingi bado hazijafunguliwa.

Anyway, acha tusubiri na muda utaamua kama ni wrong timing ama vipi.

Asante sana kwa maoni yako.

Umeona mwenzako softG bei anayouzia. Unadhan nani atakuja kwako bei kubwa tofauti ya 15,000 nzima apoteze na bado nauli ya kukufata ulipo.
Pole sana. Hizo box ukitaka zitoke (tena kwa sasa, kwa baadae zinaenda kudoda, maana hata vyuoni hawavai disposable masks, wanavaa za vitambaa) uza angalau 30,000 kwa box.

ITAKULA KWAKO. ZITAKUDODEA. UTAKUFA NJAA.
 
Ndugu wana JF, karibu ujipatie barakoa safi kabisa kwa bei chee. Tunauza Tsh 55,000 tu kwa Box lenye barakoa 50 ndani. Ndani ya Jiji la Dar utaletewa hadi ulipo, na mikoani tutakutumia kwa njia ya Bus (Gharama ya usafiri utalipia, mara nyingi kwa Box 1 haizidi 5,000).

Karibuni sana.

Mzigo upo wa kutosha kabisa, kama unavyoonekana katika picha nilizo ambatisha.

Mawasiliano: 0766 897 999.

View attachment 1468298View attachment 1468299View attachment 1468300View attachment 1468301View attachment 1468302
Pole sana
 
Back
Top Bottom