Barakaaaaa & Vigelegeleeee!!!!

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,219
Usiku wa kuamkia leo Member mwenzetu Karachuonyo amepata Baraka ya mtoto wa KIUME ktk hosptali ya Saint Thomas hapa Arusha mjini na Mama na mtoto wanaendelea vizuri kbs! Hongera sana Mr & Mrs Karachuonyo!
 
hongera zao
ni raha na baraka kuwa mzazi
hasa kama umekusudia
 
Hongereni sana...MUNGU awalinde na kuwaongoza katika kipindi chote cha kumlea..
 
Usiku wa kuamkia leo Member mwenzetu Karachuonyo amepata Baraka ya mtoto wa KIUME ktk hosptali ya Saint Thomas hapa Arusha mjini na Mama na mtoto wanaendelea vizuri kbs! Hongera sana Mr & Mrs Karachuonyo!
Wafikishei hongera zao waambie hiyo ni sehemu tu ya majukumu. kazi ndo inaanza sasa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…