we mkale umewapiga chabo hadi kengeMwe ulimbukeni!hata kenge ana demu. Nini kipya hapo!
hiz ni kiki tu zakupromote nyimbo ndio hadi zilizo mnyanyua msanii mkubw tzBwana mdogo ni mshamba halafu mtu anae anza kugegeda na uhuni ukubwani ni shida tu
BARAKA DE PRINCE AONYESHA JINSI GANI ANAMPENDA NAJMA!, ATOA VIDEO HII MTANDAOONI.
"Najma ndiyo mwanamke pekee ambaye nimeamua kwamba nitamuoa na ameshakubalika kwa wazazi wangu, hao wanaochonga waendelee tu hawatuzuii kufanya mambo yetu," amesema Barakah De Prince.
kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeWanasema HAINA MAKOMBO, SI NDIO.....
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()