Barafu inatoweka hiyo

Barafu inatoweka hiyo

VAN HEIST

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
1,434
Reaction score
617
1416887184814.jpg
 
Mimi nilikuwepo huko hivi karibuni bado ipo ila inategemea upepiga picha toka pande ipi hasa. kingine hivi sasa ni wakati wa joto hiyo kwa kiasi fulani barafu inayeyuka. Wakati wa baridi maji toka mito ya karibu uwa yanapungua sana kwani barafu haiyeyuki, wakati wa kiangazi maji yanaongezeka kwenye mito inayotiririka toka mlimani kutokana na kuyeyuka huko
 
kuna kipindi nilikua tarakea ilikua inaongezeka baridi ikizidi na hupungua kiasi kikubwa baridi ikipungua
 
Global warming !! acha tukate miti kwa kuni na tuchome misitu !! VERY SAD !! tutawajibu nini vizazi vijao?
 
hiyo kitu itakuja kupotea kabisa...ni suala la muda tu!!!
 
Sasa hiv ni kiangaz ndo maana unaona barafu kidogo lakin kuanzia mwez wa pili hata kilele cha mawenzi huwa kimezungukwa na barafu.
 
Itakua majangili ya CCM yanaichukua kipindi cha mgao wa umeme.
 
Back
Top Bottom