Maisha ya obama hua nayapenda sanaa sijui kwanini sikusomaga,eemwenyezi nijalie japo nishike pesa niweze kufikia japo nusu ya huyu prez da wa u.s.a. jamanii
Kwa jinsi huyu jamaa alivyo Simple nilishasikia huwa sometime hata kubrush viatu vyake na hata chakula anataka kujihudumia yeye mwenyewe sema ni Protocal ndio inamzuia!