Wale wataalamu wa kugundua propaganda njooni hapa mtusaidie, make mmezoea kuja hapa na kusema 'western propaganda' basi tuambie na hii ni aina gani ya propaganda?
Duh!nimeimaliza ila maswali ni mengi kuliko majibu coz kama ndege ziliwezaje kuingia bila jeshi la Pakistan kujua kama hawakushirikishwa.Nadhani kuna wakuu wa jeshi la Pakistan walikuwa wanajua.Hata mazishi yake nayo utata mtupu haijakaa sawa .
Kumbe we mjomba hujui kuwa story nyingi za kiingereza zinazoletwa hapa ni za kukopi kutoka kwenye mitandao mingine, hii story mi nimeshatumiwa tangu juzi kwenye yahoo story
Jitaidi uwe na smart phone utapata habari zote za duniani kwa wakati
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.