Muyobhyo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 8,149
- 6,556
Tutawaona mliopanga kulinda kura zenu.
Mkitupiga tunawasubiri uraiani tu, kwani mtakaa kambi miaka yote, tunasambaratisha familia kabisa, kwani mita 200 ni umbali mrefu tu, hapa kuna namna
Tutawaona mliopanga kulinda kura zenu.
Ogopa sana askar anayetoka depo, huwa damu zinachemka balaa, na wako fit si kitoto, wana hasira za shurba walizozipata na mara nying wanapoingia mtaani huwa hasira zao zinaishia kwa wananchi,
hata kama mkiiba hazitatosha
hata kama mkiiba hazitatosha