Barabara zapigwa deki Musoma

Barabara zapigwa deki Musoma

Manosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2012
Posts
4,510
Reaction score
3,594
Wakazi wa mji wa Musoma waamua kuonyesha mahaba kwa mkombozi wa Tanzania mh Edward Lowasa

Hakika mkoa wa Mara mabadiliko yamefika
 

Attachments

  • 1444551992890.jpg
    1444551992890.jpg
    96.5 KB · Views: 1,362
  • 1444552019568.jpg
    1444552019568.jpg
    96.3 KB · Views: 1,234
  • 1444552043420.jpg
    1444552043420.jpg
    115.1 KB · Views: 1,200
  • 1444552073659.jpg
    1444552073659.jpg
    129.9 KB · Views: 1,183
Dah.......Kweli muda wa ukombozi umefika, haya ni zaidi ya Mahaba.
 
musoma muda huu ni balaa. Ni kama Christmas musoma Leo. Leo jumapili wanepiga deji Barbara inayotoka hotel ya Matvilla aliyolala Lowasa ili apite pakiwa pasafi
 

Attachments

  • 1444552282166.jpg
    1444552282166.jpg
    21.3 KB · Views: 2,576
  • 1444552294477.jpg
    1444552294477.jpg
    27.8 KB · Views: 2,630
  • 1444552304225.jpg
    1444552304225.jpg
    26 KB · Views: 1,051
  • 1444552318331.jpg
    1444552318331.jpg
    23.3 KB · Views: 1,050
Niliiona na hii hivi kapewa lini?
 

Attachments

  • 1444552405151.jpg
    1444552405151.jpg
    105.4 KB · Views: 934
Kuna watu lazima watapata stroke kabla ya 25/10

cc stroke, [MENTION]Lizabon[/MENTION], [MENTION]Tumainel[/MENTION], [MENTION]Mzeemwanakijiji[/MENTION].
 
Last edited by a moderator:
Kiukweli huo mji wangu nawapenda sana na nyie nawaamini sio watu wa kutaniwa taniwa hovyo
 
Wandugu mnataka kusababisha vifo kwa CCM hawakawii kutangaza kuwa ni marufuku kusafisha mji wa Musoma.
 
Da watu wanampenda mpaka basi..ata waseme nini sisi na Lowassa *****
 
musoma muda huu ni balaa. Ni kama Christmas musoma Leo. Leo jumapili wanepiga deji Barbara inayotoka hotel ya Matvilla aliyolala Lowasa ili apite pakiwa pasafi

Viva makamanda wa Musoma! Hakuna kulala mpaka baba Lowassa aingie ikulu ya Magogoni.
 
Jamani jamani!Hiyo picha ya mwisho huyo jamaa mwenye shati jeupe si kaka yangu popoma GENTAMYCINE?
Kumbe ndio maana haonekani humu?
Kweli Magufuli alinena,kuna watu mchana wako CCM usiku UKAWA.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom