Barabara za vituo vya madaladala hazifai

emie emie

JF-Expert Member
Feb 25, 2016
711
386
Ni jambo la kusikitisha sana kuona kodi zikikusanywa na Manispaa katika vituo vya madaladala mfano; Kituo cha Makumbusho, Kituo cha Mawasiliano lakini ukiangalia njia za kutokea katika vituo hivi hazitamaniki. Ni shida kwa Daladala hizi, ni shida kwa waenda kwa miguu.

Njia hizi ni fupi sana lakini mwaka na mwaka unaisha bila hata kufanyiwa matengenezo ila ushuru unachukuliwa kila kukicha.

Hivi nyie viongozi TANROADS au Manispaa mnafikiria vipi hukusu hizi barabara?
 
Back
Top Bottom