Barabara za Afrika hmmm....

Halafu ni mojawapo ya nchi zinazotoa madini kwa wingi Afrika......kaaaazi kweli kweli.
 
Duh hizo sio barabara ila mahandaki ya maji
Na hao madereva wana moyo aise kupita kweney hayo mahandaki wakati hujui hata kina cha maji kiko wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…