Barabara ya vumbi mazizini - Moshi bar haipitiki (Mwita Waitara)

bulabo

JF-Expert Member
Aug 20, 2015
625
780
Mbunge Mwita Waitara njoo ushirikishe wananchi namna gani tutarekebisha ubovu wa barabara ya kuanzia mazizini mpaka moshi bar inavyotesa watu mvua ikinyesha. Wananchi tunaweza kushirikiana kuilekebisha walau kiwango cha kokoto tukisubiri serikali.

Hasa kuna maeneo mawili makorofi ndo yakushugulikia. Kama mbunge kushirikiana na raia ndo jambo la msingi badala ya kusubiri mfuko wa jimbo

Kuonekana kwako mhm sana katika kuijenga UKONGA. Baada ya bunge njoo
 
Back
Top Bottom