unanitaka
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 2,178
- 1,045
Hivi karibuni bonge wa clouds fm aliizungumzia barabara inayotoka barakuda kwenda chang'ombe tabata kuwa mbovu yenye mashimo had daladala zimekatisha safar za kwenda huko kwa miaka mingi. Big up bonge barabara walau imekwanguliwa na sasa mashimo yamepungua. Ila sasa hatujui je itaachwa mpaka iwe na mashimo tena wakat huko kuna wakazi wengi sana wanaohitAj usafir wa daladala ila wamekosa kutokana na wenye magar kuogopa mashimo