Mkuu pole sana, sema bongo hakuna week end wala week days ninge-suggest iwe week end ila USIKU WA MANANE huwatakii maisha marefu wafanyakazi wa TANROADS, katika kipindi ambocho ni risk kutengeneza barabara ni wakati ambapo hakuna magari mengi maana kuna wehu huwa wananyoosha mguu mpaka wanasimama huyu huwezi kumdhibiti kwa alama ya mita 500 kabla ya tukio ni lazima atawavaa tu itakuwa kama hivi hapa chiniWakuu, hadi sasa hivi, Saa tano na nusu usiku saa za Africa Mashariki, Moro Road hakuna movement yeyote ile. Hasa kati ya Ubungo na Mbezi. Tatizo TANROAD WANAJENGA MATUTA maeneo ya Stop over na Temboni. Sijui kama wana strategic Plan hawa, badala ya kujenga usiku wa manane wao wajenga sasa. Hivyo mimi nipo kwenye gari naperuzi mtandao. Kazi hii wameanza asubuhi hadi sasa. Sina uhakika na hili kwani habari tunapewa na waendesha piki piki ambao wamepata BINGO ya hali ya juu leo. Ubungo - Kimara wanachaji 5,000/= kama huna wasema tambaa.
Hicho ni kionjo ili usome bado nipo baa hapa RAM baa / bar NJOO nakunywa BINGWA tu[/QUOTE]
hahahahaha!mkuu unanikumbusha mbali kweli na hizo bia za kijeshijeshi.Nilidhani zilishakosa wateja kiwanda kikafungwa kumbe bado zipozipo tu!!!!
saafi sana mkuu endeleza makamuzi halafu ukitoka hapo wewe ni kukanyaga wese tu,mwendo mdundo!
Hivi huo mradi wa magari ya kwenda kwa kasi unaanza lini? Taifa letu linatia aibu kila sekta, hasa 'vichwani'
karibu Mlimba-Ifakara mkuu tujenge taifa kutoka uku upenuni mwa nchi, hakuna rabsha kabisa uku,Jiji linaboa sana, bora kwenda mikoani.
Idimi alikuwa mwathirika mmojawapo wa hiyo foleni jana, akitokea maeneo ya Kibaha.
Nilikaa katika foleni hiyo kutoka Kibaha maili moja hadi kimara mwisho kutoka saa 12.10 jioni hadi saa 3.20 usiku.
Jiji linaboa sana, bora kwenda mikoani.
Wakuu, hadi sasa hivi, Saa tano na nusu usiku saa za Africa Mashariki, Moro Road hakuna movement yeyote ile. Hasa kati ya Ubungo na Mbezi. Tatizo TANROAD WANAJENGA MATUTA maeneo ya Stop over na Temboni. Sijui kama wana strategic Plan hawa, badala ya kujenga usiku wa manane wao wajenga sasa. Hivyo mimi nipo kwenye gari naperuzi mtandao. Kazi hii wameanza asubuhi hadi sasa. Sina uhakika na hili kwani habari tunapewa na waendesha piki piki ambao wamepata BINGO ya hali ya juu leo. Ubungo - Kimara wanachaji 5,000/= kama huna wasema tambaa.
Mkuu pole sana, sema bongo hakuna week end wala week days ninge-suggest iwe week end ila USIKU WA MANANE huwatakii maisha marefu wafanyakazi wa TANROADS, katika kipindi ambocho ni risk kutengeneza barabara ni wakati ambapo hakuna magari mengi maana kuna wehu huwa wananyoosha mguu mpaka wanasimama huyu huwezi kumdhibiti kwa alama ya mita 500 kabla ya tukio ni lazima atawavaa tu itakuwa kama hivi hapa chini