Kuna mtu aliwahi dokeza jambo kuhusu fedha ya barabara hiyo kuliwa lakini ule uzi haukudumu humu, looks like kuna jambo kwenye hiyo barabarawahusika wamejikausha tu wanakula pesa ya ujenzi
Wagome tu kwakweli, mpaka waseme watajenga lini hii barabaraTaarifa za chini ya kapeti wakuu ni kwamba daladala zote zinazotumia kituo hicho zitagoma j3 kwaiyo tujipange kwa adha ya usafiri siku hiyo..
SijajuaHivi lami imeshawekwa kwa Mzee wa Bapa(lusekelo)
hayo ndio matatizo ya kuitoa serkali za mitaa tamisemi kwa waziri kuu na kuiludisha kwa ofic ya Rais kwa.kuzani kua wanawakomoa wapinzani kumbe anawaumiza wananchi wanyonge.
sasahivi halmashauri ili itengeneze barabara zake ni lazima kibari kitoke juu.na ndio maana tunaona brbr nyingi za mitaa hazitengenezwi kwa ulahisi.
WALICHOKIFANYA KWENYE UTAWALA HUU BAADA YA KUONA MIJI MINGI INAONGOZWA NA UPINZANI WALICHOFANYA NI KUIRUDISHA TAMISEMI KWENYE OFISI YA RAIS,ILI MAAMUZI YA KIMAENDELEO ATOE RAIS KWA LENGO LA.KUUFANYA UPINZANI USISIKIIKE.
hiyo lami itoke wapi? yaani mpaka kile kituo cha ndani kishaharibika kutokana na ubovu wa barabara ya kuingilia stand.Naona barabara ya kituo cha Makumbusho imeshapigwa lami, hii mawasiliano sijapita muda mrefu, vipi tayari?
Ayaaaa...., kwanini sasa hadi leo ahadi ya Makonda aliyotoa mwanzoni mwa mwaka haijatekelezwa? Inamaana alitudanganya?hiyo lami itoke wapi? yaani mpaka kile kituo cha ndani kishaharibika kutokana na ubovu wa barabara ya kuingilia stand.
jibu unalo pigia mstariAyaaaa...., kwanini sasa hadi leo ahadi ya Makonda aliyotoa mwanzoni mwa mwaka haijatekelezwa? Inamaana alitudanganya?
Atapitisha harambe toka Kwa wananchi muda si mrefuAyaaaa...., kwanini sasa hadi leo ahadi ya Makonda aliyotoa mwanzoni mwa mwaka haijatekelezwa? Inamaana alitudanganya?
JE hyo lami itadumu au ndiyo zile lami kuwekwa kimagumashiNaona barabara ya kituo cha Makumbusho imeshapigwa lami, hii mawasiliano sijapita muda mrefu, vipi tayari?