Abelsabuni
Member
- Mar 23, 2018
- 15
- 4
Akili huna wewe hivi kimara unaijua au unaushia kuropoka upate mme humu?????? Makapuku kinara? Kuwa na aibu na fanya research.....wewe tajiri uchwara sasa umejigarantee hata kifo umenunua uhai wa kudumu hautakufa? Mijitu mingne jmn NA UKIFUATILIA NI LILIMBUKENI TU LIMEPATA KAUNAFUU LIKIWA NA UMRI MKUBWAHiyo nayo ni barabara au uchochoro?
Huko mnaishi makapuku tu
Usitokwe povu haujazungumzia Kimara generally umezungumzia King'ong'o yani wewe na wote mnaoishi huko ni MAKAPUKU na haipingiki.Akili huna wewe hivi kimara unaijua au unaushia kuropoka upate mme humu?????? Makapuku kinara? Kuwa na aibu na fanya research.....wewe tajiri uchwara sasa umejigarantee hata kifo umenunua uhai wa kudumu hautakufa? Mijitu mingne jmn NA UKIFUATILIA NI LILIMBUKENI TU LIMEPATA KAUNAFUU LIKIWA NA UMRI MKUBWA
Ngoja nikuache manake nakufaham ni mwehu japo hunijui na hujui nakufaham half huna jipya lolote na ukizungumzia mabosi wa kimaraUsitokwe povu haujazungumzia Kimara generally umezungumzia King'ong'o yani wewe na wote mnaoishi huko ni MAKAPUKU na haipingiki.
Vumbi hilo hamjaanza kula jana na mtalila sana Matosa na King'ong'o wote MAKAPUKU
Sina time na ilo pepo ambalo halijielew misifa ya kijinga wenye hadh ya kuongea wametulia....HILI JUKWAA WENG WASKama vp tuwawekee duara mzichape
Usipaniki mkuu, mambo ya kawaida hayo si unajua jf kila mtu mshua ana drive ndinga Kali.....BTW sisi makapuku wa kingongo tushaizoea hiyo barabara tunaishi nayo hvohvoSina time na ilo pepo ambalo halijielew misifa ya kijinga wenye hadh ya kuongea wametulia....HILI JUKWAA WENG WAS
AiseeeNgoja nikuache manake nakufaham ni mwehu japo hunijui na hujui nakufaham half huna jipya lolote na ukizungumzia mabosi wa kimara
Cha ajabu makapuku wa king'ongo wapo wengi tu magar yao wamesajili private number (kwa majina yao) INAPENDEZA SANAUsipaniki mkuu, mambo ya kawaida hayo si unajua jf kila mtu mshua ana drive ndinga Kali.....BTW sisi makapuku wa kingongo tushaizoea hiyo barabara tunaishi nayo hvohvo