ntu na ntue
Member
- Apr 10, 2017
- 17
- 39
Mbona mm nipo uku Ikola, wilaya ya Tanganyika pembezon mwa Ziwa Tanganyika Katav...lakin Kimara napajuaMie niko huku Katavi mkuu sijawahi hata kufika huko Dar. ahsante kwa kunielewesha
Mbona mm nipo uku Ikola, wilaya ya Tanganyika pembezon mwa Ziwa Tanganyika Katav...lakin Kimara napajuaMie niko huku Katavi mkuu sijawahi hata kufika huko Dar. ahsante kwa kunielewesha
Ahsante mkuuKwa msuguri
kwa hyo wewe umetembea kuanzia kimara,mbezi mpk ubungo ukitafuta kibao? au umepita na bodabpda afu unataka uone kibao mkuuNimeuliza kutokuweka kibao ni sheriapovu
La nini mnyarugusu
Ile ni barabara ya Morogoro kwa sehemu ya Kimara na Mbezi.Mkuu kajisalimishe uhamiaji mapema maana uwenda siyo mkazi wa Janhuri hii ya TZ.
Kimara iko Dar wilaya ya Ubungo. Kuna KImara Suka Kimara kwa Msuguri, Temboni na Kimara Stop over vile vile.
Upana wa barbr ya morogoro Dsm. Kanuni ya 29 ya kanuni za brbr zilizotungwa na Waziri wa miundombinu Mh. Shukuru Kawambwa mwaka 2009.Moja kwa moja ndani ya hoja kuu,
Nauliza ni sheria gani kwa mkandarasi kujenga barabara bila ya kubandika bango lolote?
Mbili; kwa upana ule kulikuwa na haja gani ya kubomoa nyumba nyingi
Kiasi kile .na hali barabara yenyewe inayoongezwa haifiki hata mita kumi upana