Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,028
- 59,657
Nyumba zilivunjwa ili kuwakomesha wana chadema
Labda eneo lililobaki litapandwa mauaMoja kwa moja ndani ya hoja kuu.
Nauliza ni sheria gani kwa mkandarasi kujenga barabara bila ya kubandika bango lolote?
Mbili; kwa upana ule kulikuwa na haja gani ya kubomoa nyumba nyingi
Kiasi kile .na hali barabara yenyewe inayoongezwa haifiki hata mita kumi upana

Karibu sana DarMie niko huku Katavi mkuu sijawahi hata kufika huko Dar. ahsante kwa kunielewesha
Uwii.mbn povu asee.ko walikurupukaMoja kwa moja ndani ya hoja kuu,
Nauliza ni sheria gani kwa mkandarasi kujenga barabara bila ya kubandika bango lolote?
Mbili; kwa upana ule kulikuwa na haja gani ya kubomoa nyumba nyingi
Kiasi kile .na hali barabara yenyewe inayoongezwa haifiki hata mita kumi upana
We ndo msemaji wa serikali etiHiyo itakuwa awamu ya kwamza. Nyumba zilibomolewa kwakuwa zilikuwa ndani ya hifadhi ya barabara na pia kuepuka watu kuendelea kujiimarisha kwa kujenga na kuwekeza hifadhini. Hii pia ilikusudiwa kuepuka usumbufu mara serikali inapohitaji kufanya upanuzi isilazimike kubomoa kila wakati lakini kubwa ni kuwafanya watu watii sharia
Unaonekana ulifeli hesabu wewe..hujui kua sentimita 100 si sawasawa na mita 1?si umesema hakuna kibao chochote kinachoonyesha upana? sasa wewe umejuaje kama itakuwa nyembamba au nene? au hujasikia kuwa ni njia nne? shenziii
Freelance Spokes PersonWe ndo msemaji wa serikali eti
What about suckin them dicks? You do that too?Freelance Spokes Person
Mbona sisi katavi tinaijua na hatujawahi kufika?Mie niko huku Katavi mkuu sijawahi hata kufika huko Dar. ahsante kwa kunielewesha
hata mimi nilitaka nifahamishwe inamaana pale ndio barabara sita ndio zinaanza kujengwa amaMoja kwa moja ndani ya hoja kuu,
Nauliza ni sheria gani kwa mkandarasi kujenga barabara bila ya kubandika bango lolote?
Mbili; kwa upana ule kulikuwa na haja gani ya kubomoa nyumba nyingi
Kiasi kile .na hali barabara yenyewe inayoongezwa haifiki hata mita kumi upana
What about suckin them dicks? You do that too?
Sasa tusi liko wapi apo mkuuWe jamaa huwezi kuandika bila kutukana?