Barabara ya Kimara upana ndio huo?

Barabara ya Kimara upana ndio huo?

Hakuna Kimara kwa Msuguri, nawe pia inawezekana sio MTZ
Mkuu kajisalimishe uhamiaji mapema maana uwenda siyo mkazi wa Janhuri hii ya TZ.
Kimara iko Dar wilaya ya Ubungo. Kuna KImara Suka Kimara kwa Msuguri, Temboni na Kimara Stop over vile vile.
 
tunaomba pichaa maana wengine tupo kigoma huku hatujapaona kimara siku nyingii
 
Moja kwa moja ndani ya hoja kuu,

Nauliza ni sheria gani kwa mkandarasi kujenga barabara bila ya kubandika bango lolote?
Mbili; kwa upana ule kulikuwa na haja gani ya kubomoa nyumba nyingi
Kiasi kile .na hali barabara yenyewe inayoongezwa haifiki hata mita kumi upana
Tujifunze kuwa na subra acheni kukurupuka! Hayo ni maandalizi tu
 
Kwahiyo wewe hujawahi kuona hizo beacons zinazonyesha mwisho wa hifadhi ya barabara?
Mkuu kajisalimishe uhamiaji mapema maana uwenda siyo mkazi wa Janhuri hii ya TZ.
Kimara iko Dar wilaya ya Ubungo. Kuna KImara Suka Kimara kwa Msuguri, Temboni na Kimara Stop over vile vile.
 
Moja kwa moja ndani ya hoja kuu,

Nauliza ni sheria gani kwa mkandarasi kujenga barabara bila ya kubandika bango lolote?
Mbili; kwa upana ule kulikuwa na haja gani ya kubomoa nyumba nyingi
Kiasi kile .na hali barabara yenyewe inayoongezwa haifiki hata mita kumi upana
Kwani huko kimara walimchagua nani wakati wa uchaguzi mkui 2015?
 
Moja kwa moja ndani ya hoja kuu,

Nauliza ni sheria gani kwa mkandarasi kujenga barabara bila ya kubandika bango lolote?
Mbili; kwa upana ule kulikuwa na haja gani ya kubomoa nyumba nyingi
Kiasi kile .na hali barabara yenyewe inayoongezwa haifiki hata mita kumi upana
Bango lipo labda wewe hujalitafuta lipo pale kwenye round about ya kimara upande wa kushoto kama unaelekea Kibaha, hivyo jifunze kufanya utafiti kabla ya kuandika
 
Nikipita apo badae nikiliona ntapiga picha
 
Moja kwa moja ndani ya hoja kuu,

Nauliza ni sheria gani kwa mkandarasi kujenga barabara bila ya kubandika bango lolote?
Mbili; kwa upana ule kulikuwa na haja gani ya kubomoa nyumba nyingi
Kiasi kile .na hali barabara yenyewe inayoongezwa haifiki hata mita kumi upana
labda walikuwa wanamuwinda Gwajima ila nguvu ya Mungu imewashinda,halafu wakataka kuanzisha bifu na wana ubungo kimara cz walichagua upinzani ila baadaye wakaona kule kuna wasomi na wajanja wengi hvy bifu lingeendelea tu,wakaamua kuahirisha yote,hii ni serikali mrupuko
 
Nyie wachaga wa kimara si mligoma kunipa kura zenu. Lazima nwakomeshe.
 
Back
Top Bottom