Hiko chama ni cha kishetani na mambo ambayo huwa wanayafanya ni ya ukichaa kichaa.......Moja kwa moja ndani ya hoja kuu.
Nauliza ni sheria gani kwa mkandarasi kujenga barabara bila ya kubandika bango lolote?
Mbili; kwa upana ule kulikuwa na haja gani ya kubomoa nyumba nyingi
Kiasi kile .na hali barabara yenyewe inayoongezwa haifiki hata mita kumi upana
Mkuu kajisalimishe uhamiaji mapema maana uwenda siyo mkazi wa Janhuri hii ya TZ.Samahani mkuu hiyo Kimara iko wapi katika Jamhuri yetu hii ya Muungano wa Tanzania?
Barabara ya Kimara:Upana ndio huo?
- Thread starter Shetemba
- Start date 6 minutes ago
Mie niko huku Katavi mkuu sijawahi hata kufika huko Dar. ahsante kwa kunieleweshaMkuu kajisalimishe uhamiaji mapema maana uwenda siyo mkazi wa Janhuri hii ya TZ.
Kimara iko Dar wilaya ya Ubungo. Kuna KImara Suka Kimara kwa Msuguri, Temboni na Kimara Stop over vile vile.
Kimara ipo huko Ileje mkoani Songwe ktk Jamhuri ya Muungano wa DanganyikaSamahani mkuu hiyo Kimara iko wapi katika Jamhuri yetu hii ya Muungano wa Tanzania?
Barabara ya Kimara:Upana ndio huo?
- Thread starter Shetemba
- Start date 6 minutes ago
Heeeeeeeeeeeee!!! kumbe. Ahsante sana kuniweka sawaKimara ipo huko Ileje mkoani Songwe ktk Jamhuri ya Muungano wa Danganyika
Karibu mkuu wangu
si umesema hakuna kibao chochote kinachoonyesha upana? sasa wewe umejuaje kama itakuwa nyembamba au nene? au hujasikia kuwa ni njia nne? shenziiiMoja kwa moja ndani ya hoja kuu.
Nauliza ni sheria gani kwa mkandarasi kujenga barabara bila ya kubandika bango lolote?
Mbili; kwa upana ule kulikuwa na haja gani ya kubomoa nyumba nyingi
Kiasi kile .na hali barabara yenyewe inayoongezwa haifiki hata mita kumi upana
Mkuu karibu sana uijue Kimara iko poa sana ingawa tulipa hasara kubwa sana ya majumba ya aushi!!!!!!!!!!!!!!!!Mie niko huku Katavi mkuu sijawahi hata kufika huko Dar. ahsante kwa kunielewesha
Ahsante kwa mwaliko mkuu wanguMkuu karibu sana uijue Kimara iko poa sana ingawa tulipa hasara kubwa sana ya majumba ya aushi!!!!!!!!!!!!!!!!
Mnaipigia kura Chadema ndio kosa lenu kubwaNasikia eti sisi wa Kimara tunakomolewa kwakuwa wengi tunatokea ile kanda isiyopendwa
We! We! We! Acha kuleta mikosi Ileje!Kimara ipo huko Ileje mkoani Songwe ktk Jamhuri ya Muungano wa Danganyika
Karibu mkuu wangu
Jiwe liked your postNasikia eti sisi wa Kimara tunakomolewa kwakuwa wengi tunatokea ile kanda isiyopendwa
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Jiwe liked your post