Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,776
- 2,389
Inasikitisha, kiwango cha barabara hii ni duni mnooo
Inasikitisha, kiwango cha barabara hii ni duni mnooo
Barabara ya Kilwa ni Bomu kabisa!!!!
(From Michuzi)
Barabara hii iliyozinduliwa hivi majuzi ina kila aina ya ubovu wa kitaalam.
Barabara hii imeanza kubonyea sehemu mbali mbali.
Barabara haina mabango ya kuonyesha alama za barabarani.
Katika picha hii jamaa mwenye lori kakatiza katikati ya mduara wa kuongozea magari. Hii ni kutokana na mapungufu makubwa katika usanifu na ujenzi wa barabara hii.
Tunajiuliza hivi Miundo mbinu na taasisi zake zilikuwa wapi wakati ujenzi wa barabara hii yenye mapungufu makubwa ukifanyika?
Ukilinganisha barabara hii na nyingine zilizojengwa na kampuni ya KONOIKE zaidi ya 10 hadi 15 iliyopita utajua kinachoongelewa hapa.
Barabara hii haina hata miaka mitau kukamilika na ina matatizo ya kukatisha tamaa.Itadumu miaka mingine 10?
Hivi ili Lori inayofanya pulling iweze kuzunguka round about, round about hiyo inatakiwa iwe na diameter kiasi gani?tanzania ni moja ya nchi zinazofuatilia sana ubora wa procurement zake kwa hiyo barabara ni nzuri ila tu nyie mnataka quality za ulaya ...poleni
Hii imekaa vizuri original pastor.Huo ni msaada tu wewe unalalamika nini? wakati pesa yenyewe mnakula wenyewe huko BOT mnakopeshana. Mh. Kikwete ataijenga upya akipita kwenye uchanguzi usijali unajua kukarabati si ghali ghali ni kuplani. watu piiiipooooo.bye
Waumini nawakumbusha kutoa fungu la kumi na kutoa sadaka Kila uingiapo Kanisani. Karibuni wote kwenye kanisa lenu la Upako Ubungo. Yesu kristo akulinde na akutangulie kuzuia kila jambo baya.....na akupe kheri kila nukta wakati woote ukiwa unavuta pumzi ...emen
Kuna haja barabara hii kufanyiwa Technical Audit kuthibitisha viwango vyake!!Si unajua tena kama barabara ina lami yenye unene wa nchi 8, ukichukua idadi ya vigogo wanaohusika inakuwa ishu? manake wanaweza kuwepo mathalani vigogo 4 kila mmoja baada ya tenda anakubali apewe tu nusu nchi ya hiyo lami, jumla kwa hao wanne ni nchi 2 tayari, ukijumlisha na wengine 20 wa 0.05inch unabakiwa na inchi 5, bado hawajaiba kokoto mafuta n.k. Halafu tunataka barabara idumu miaka 20, labda ya kuchonga!
we acha kudandia treni kwa mbele soma mada vizuri ndo uchangie na kama hujui kaakimya kwanza unajua ile barabara ilijengwa na mkandarasi Gani? ok nirudi kwenye mada tatizo lililopo hapa ni watoa msaada wanatoa msaada lkn pesa yote inabakia kwao,kajima wamejenga kulingana na pesa walio pewa,tanroad walipaswa kukaa chini na mkandarasi na kutia upya ngharama za ujenzi na kupunguza urefu ili ijengwe kwa kiwango, kwa sababu cost za kurepair ni kubwa sanaLabda Konoike iliyojenga hiyo barabara ni ya kichina.
we ulitimuliwa konoike nini, kajima tangu lini ikawa konoike?au wewe kila kampuni ya ujenzi ni konoikeWajanja waliunda KONOIKE ya kibongo wakajitwalia tenda wakapata wakatengeneza hiyo barabara bomu, sasa inaonekana imeanza kuwaumbua
Unamaanisha inchi? Inches au countries?Si unajua tena kama barabara ina lami yenye unene wa nchi 8,