Barabara ya hombolo iangaliwe kiroho

Barabara ya hombolo iangaliwe kiroho

Shakala

Member
Joined
Sep 30, 2024
Posts
13
Reaction score
11
Imepita miaka kibao wakazi tunaotumia hii barabara tumekua tukidanganywa juu ya ujenzi wake kwa kiwango cha lami mpaka tumechoka,tangu enzi za mbunge madeje mpaka huyu mavunde kila awamu wameitumia kuombea kura lakini matokeo yake wanaishia kupitisha greda na kumwaga vimaji...baada ya wiki mbili rasta na vumbi linarudi pale pale.hombolo kuna high school,kituo cha afya,viwanda vya wine,mashamba ya zabibu,bwawa la samaki,chuo cha serikali za mitaa lakini cha ajabu tunatumia mabasi yenye kunguni ndani na mabovu haswa.Serikali ni muda sasa muijenge kiwango cha lami gharama ya nauli ipungue, imagine kufika mjini(50km) nauli inafika 5000 halafu gari zimechoka
 
Nimemwambia mavunde ausome huu uzi,haya ndio mambo yanafaa kubandikwa hapa
 
Back
Top Bottom