Barabara ya Dar Mtwara miyeyusho! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Barabara ya Dar Mtwara miyeyusho!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtego wa Noti, Nov 3, 2011.

 1. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Hii barabara ya Dar lindi mtwara kuna kipande cha kilomita 60 ni kibovu. Imepita sasa takribani miaka 3 toka awekwe mkandarasi wa kutengeneza hicho kipande. cha kshangaza mpaka sasa hiki kipande kidogo hakijaisha na kwa sasa ukipita pale huoni hata road works zinazoendelea. hivi hii wizara ya magufuli mbona inatuyeyusha sisi wakazi wa lindi na mtwara? kipande ni kibaya mno mpaka gari likifika pale basi resha inapanda.
  ingekuwa wakati wa jamaa yetu nkapa naamni kipande hiki kingkuwa kimeshakamilishwa!!!
  hivi huyu jk anafikiria nini?? anataka ss watu wa ntwara na lindi tumfikilieje?
   
 2. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,340
  Trophy Points: 280
  Si umeshasikia wakandarasi wa ujenzi wanaidai gov bil.745? Sasa hapo ni akili ya kawaida tu gov haina hela ndio maana unaona hamna dalili za ujenzi
   
 3. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  kumbe kazi ipo km ndo ivo
   
 4. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  wajemeni, kawaolea dada yenu bado mnataka kila kitu apeleke huko, mweeee! Hata kama limbwata nadhani inatosha
   
Loading...