NOT FOUND
Senior Member
- Mar 14, 2011
- 158
- 59
UPDATE: MAY 2023
Hii thread ni ya tangu Mwaka 2014, miaka 9 iliyopita hadi leo 2023 barabara hali ni mbaya, pamoja na ahadi ya kuweka lami kipande hicho cha kilomita 21, ila hadi leo hakuna kilichofanyika, na hii ndio hali halisi wanayoishi wananchi wa Bumbuli.
Natoa rai kwa ndugu yetu makamba. Kabla hujafikiria kugombea uraisi wa Tanzania hakikisha kwanza hii barabara na matatizo mengine ya Bumbuli yamepatiwa ufumbuzi vinginevyo hata huo Ubunge hatukupi tena, haiingii akilini kutaka kuongoza nchi kama jimbo pekee limekushinda.