debrakabra
Member
- Jun 1, 2015
- 88
- 30
Habari Wadau,
Tunaomba mwenye kujua kinachoendelea kuhusu ujenzi wa barabara ya Ardhi - Makongo Juu - Goba (kipande cha Ardhi - Makongo Juu). Ni muda mrefu umepita, kumekua na sintofahamu, na wananchi hatujui kinachoendelea.
Kwa jinsi ujenzi wa Interchange ya Ubungo unavyoshika kasi, magari mengi sana yanachepuka kupitia hii barabara ya Ardhi - Makongo Juu - Goba.
Je kuna dalili zozote za kumalizia ujenzi wa hii barabara, kipande cha Ardhi - Makongo Juu?
Mwenye kuwa taarifa please?